Tanzania na Double Count...

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
nninasikitishwa na waratibu wa shughuli mbalimbali za serikali.sinautaalamu sana na mambo ya takwimu ila je huu uhakki unaofanywa na hawa watu wa vitambulisho vya taifa na ule uhakiki utakao fanywa wakati wa sensa kunatofauti gani? au ndo yaleyale ya LIWALO NA LIWE?
 
Back
Top Bottom