JK Live ITV akihitubia taifa

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Anaongelea mgomo wa madackari na wahamiaji haramu toka ethiopia
 
Niko bar walevi wanasema anavyoongea utadhani ni mtu mwenye busara kumbe siyo
 
mimi nimebadilisha chanel baada ya kumuona
hamna anachoongea cha maana na kama kipo hakunaga kakitekeleza
 
makofi kwa muheshmiwa pr:jk weweeeeeeeeeeeeeeeeee,yani jamaa anakubalika,tupo kwa ajili yako jk wala si kwa ajili ya c.c.m au chadema!mpaka mwisho wa safari yako.
mungu ibariki tanzania,dumisha uhuru na umoja!
 
Hiyo hotuba ni ya mwisho wa mwezi ama mwanzo wa mwezi? Ilikiwa humi jamvini muda mrefu ikijadiliwa,ama imebadilishwa?
Sie tnacheki euro final bwana, hana mpya
 
Back
Top Bottom