Fatou B mwanamama Mgambia wa ICC aja Tanzania kuprosecute kesi ua Dr Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fatou B mwanamama Mgambia wa ICC aja Tanzania kuprosecute kesi ua Dr Ulimboka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Janja PORI, Jul 2, 2012.

 1. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  under the doctrine of Complimentarity ICC inayo power ya kuprosecute hii mambo.
  baada ya mambo kusikika Duniani chini ya BBC na Magazeti ya Marekani, inasemekana kuna uwezekano mkubwa mwanamama aka the new Ocampo atakuja Tanzania kuestablish Admissibility ya kesi ya torture dhidi ya Dr.
  my take
  Article 7 inasema Torture ni moja ya crime against humanity. hivyo basi naomba kwa International lawyers na wanaharakati,Ngos kwa pamoja tuhakikishe hii mambo inafika ICC
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Ni habari njema lakini tupe chanzo ili twende sawa.
   
Loading...