Simu za kununua mkononi hatari utakamatwa kama huyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simu za kununua mkononi hatari utakamatwa kama huyu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Jul 1, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kuna software zinawekwa kwny simu kazi yk ni kutrace simu ikiibiwa na kujua mtumiaji na kila anachofanya hata ubadili line bado itakutrace tuu kuna jamaa alinunua iphone 4S mtaani(mkononi) akaanza kuitumia kumbe ile simu iliibiwa kwa kobosile wa kampuni ya simu **** simu ilikuwa imewekewa hii softwr jamaa alipoweka tu line kila kitu alichokuwa anafanya kikaonekana kilichofanyika aliripotiwa polisi mtego ukaandaliwa akapigiwa simu kutoka kwny hy kampuni ya simu*** akajulishwa ameshinda zawadi ktk promotion iliyokuwa inafanyika akaambiwa atinge amependeza ili aweze kupigwa picha kwa kushinda donge nono jamaa akakurupuka na suti kali kufika akapokelewa akajazishwa fomu then akaambiwa aingie chumba apigwe picha kuingia wajedda wamejaa wakamtia nguvuni ktk mahojiano akadai kuwa ameuziwa simu kwa Tsh 300,000 na masela wa kitaa hata hawajui Kibosile alitamani kulia kusikia simu aliyonunua kwa bei mbaya imeuzwa kama deki ya tv!!jamaa sasa ana kesi na.**** ktk mahakama ya *** kwa kosa la kununua mali ya wizi tujihadhari sana kwa hizi simu za mkononi kitaani usichekelee kupata ubweche yatakayokukuta utajuta unawz kupata na murder case hv hv unashangaa kipoyoyo!
   
 2. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Kununua simu za mtaani ni ku-promote wizi wa simu, hivyo yatakayokukuta ni halali yako. Unaponunua simu mtaani kwa bei poa unahalalisha watu waendelee kuibiwa simu. Wazi wa simu watakapoona hazinunuliwi wataacha. Hivyo toa mchango wako kuzuia wizi wa simu - usinunue simu mtaani.
   
 3. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hizo kitu zipo na dawa yke ni kuifrash fasta tu ukiikamata
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hata ukiflash hakuna kitu inaingia kwny OS labda uflash kila kitu ubaki nayo kama kopo umpe mtoto achezee toyy!
   
 5. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  Mbona mimi ndio zangu hizo kununua masimu ya wizi alafu nayageuza ipod hata miaka mitatu yaani nakuwa natumia kusikilizia muziki tuu na kamera!!!
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Nlimsikia rafiki yako wa Clouds Fm bwana Gerald Hando akikipa promo hicho kifaa
   
 7. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Hiyo inatumika kwenye iPhone 4 & 4s mkuu. You can actually set it to where it can pin point user's location. Teknolojia hatari kweli siku hizi.

  Nilipoiona post yako nikafikiri ni moja ya stori ambayo nilishuhudia juzi kati uMwela wakimchukua jamaa pale Mwenge.
  Jamaa ni muuza nyama (Butcher) pale Mwenge. Alinunua simu ya wizi, bahati nzuri huyo mtu aliyemuuzia anamfahamu.
  Kumbe mmiliki wa simu aliuawa na majambazi Siku chache nyuma. Kwa huyu ndugu zake na Polisi walikuwa wanafanya mchakato wa kuipata,ilikuwa ni iPhone4. Jamaa (muuza bucha) alishindwa kutoa chip kwenye simu kwa kuwa hakujua inatolewaje (kwa mnaoijua iPhone4 mtanielewa) Kama sio mtundu itakusumbua.

  Ndugu wa marehemu na Polisi walipiga ile namba na Yule muuza bucha wakawa wanawasiliana nae kuhusu kufanya utaratibu wa kuirudisha hiyo simu watamrudishia hela yake na cha juu Kama kifuta jasho. Jamaa akawaelekeza mpaka Mwenge. Siku hiyo ilikuwa jumamosi ...wakati naingia buchani ndio nakuta hekaheka zinaishia Mwela wanampandisha Land Cruiser wanaondoka nae. Jamaa ametoka huko alikokuwa Jumatatu ya wiki hii baada ya Polisi kumpata aliyemuuzia simu na kuridhika na uchunguzi kwamba jamaa hakuusika na mauaji.

  Sasa hivi jamaa hata Pen ya kuuziwa mkononi hanunui. Tuwe makini bandugu..cheap is always expensive. Unaponunua hizi simu za mkononi especially hizi "Smart phones" tuwe makini sana.
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hv mtu ujiulize kwanza simu ya 1.5m unauzw kwa sh 400000 na bado unanunua unaitoa hadharani kujishebedua kuwa uko juu ukikamatwa wewe shaurilako acheni kununua simu nendeni dukani mkunjue tu kama huna nunua nokia tochi uishi kwa amani ya nini ununue iphone uishi kama mkimbizi ktk nchi yako tafakari chukua hatua
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Kumbe humu ndani kuna wezi wa simu??
   
 10. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Na si ajabu ndiye mwizi mwenyewe wa pale posta
   
 11. t

  testa JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wanapobuni mbinu za kuzuia wezi nao wanabuni za kuwaibia,mujini akili ku kichwa
   
 12. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mimi nilinunua matairi ya Lorry Michelin, yalikuwa yamefungwa dar, nikayanunulia Moro....
  jamaa walinikamata Sinza...walikuwa wameyawekea hii software nini?? dah!!!.......

  Dah!!!
   
 13. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Ukininunua Simu ya magumashi flush it, there is no way they can trace it NO WAY ..... Hata Kama Ina hiyo program it will go away .... Tunzeni Simu zenu, zikichapwa Mie Nanunua, wejeni program zote mnazojua, Kama mwanadamu anapata ajali kichwa kinapoteza kumbukumbu Itakua machine ....


   
 14. m

  makumvi Member

  #14
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Laiti kama vifaa hivi vingewekwa kwenye cmu zote ingekuwa poa sana, maana cmu za mazabe ni nyingi sana mtaani na watu wengi wananunua hizo cmu maana hata bei yake ni poa
   
 15. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Okii format hiyo security software inafutika so sio solution ya kuitegemea sana
   
 16. w

  wise-comedian JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,455
  Likes Received: 2,511
  Trophy Points: 280
  HAHAHA!.......we mkare
   
 17. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,394
  Likes Received: 6,577
  Trophy Points: 280
  Hongera sana kwa kupata simu yako
   
 18. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Duhh we jamaa ni noumer software kwny matairi duhhh!!
   
 19. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kuflash kazi bure! Kuna IMEI ambazo ndio kitambulisho cha simu! Yani hapo nisawa na alama za dole gumba! Utanyakwa tu!
   
 20. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kuwaelimisha hawa majangiri wa simu. Tokea wamejua kuflush wao kila kitu ni kuflush tuu!! IMEI ni moja ya vitu muhimu. Basi tu haya majangiri ya simu huwa yanatuibia sisi wenye Nokia Tochi,yakikutana na mbabe Mwenye iPhone na smart phones ndio huwa yanashikwa kama shorwe bwenzi kwenye ulimbo.
   
Loading...