Kauli gani uliiipenda?

4

  • 1

    Votes: 1 25.0%
  • 2

    Votes: 1 25.0%
  • 3

    Votes: 0 0.0%
  • 4

    Votes: 2 50.0%

  • Total voters
    4
  • Poll closed .

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
1- KUfuatia hali ngumu ya maisha Waziri wa Fedha katika miaka ya 80, David Msuya- Kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.

2- Serikali ilipotaka kununua ndege ya Rais, Basil Pesambili Mramba- Tutakula hata majani lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe.

3- Hali ilipokuwa ngumu kwa usafiri kupanda maradufu- Basil Pesambili Mramba- Kama wananchi hawawezi kulipa nauli watembee kwa miguu.

4- Vurugu za mabucha ya Nguruwe Dar- Rais Alhaj Ali Hassan Mwinyi- Anayetaka kula chura, Ruskaaaa

5- Mgoma wa Madaktari- Waziri Pinda- LIWALO NA LIWE

KUNA KAULI NYINGINE UNAZIKUMBUKA....? HEBU SEMA IPI UMEIPENDA KAMA UNA NYINGINE CHANGIA
 
MTU WA KIGAMBONI ASIYEWEZA KULIPA NAULI YA KIVUKO TSH 300 APIGE MBIZI (BY Magufuli)
 
Kama unaona mwajiri wako (serikal) hawez kukulipa 3500,000 kama daktar andika barua ya kuacha kaz na nyumba utaondoka ndan ya saa 24 kuliko kubishana kupeana charge sheet na kufukuzana-da prezida J.M.Kikwete
 
Back
Top Bottom