source:maajabuyamaji.net
Moja ya mahitaji matano (5) mhimu ili kuishi baada ya oksijeni, maji, chumvi, na potasiamu; ni Mazoezi. Mazoezi ni mhimu kwa ajili ya afya zaidi ya kuwa na maumbile ya...
Nimesikiliza Bunge jana na kumsikiliza mwigulu akijaribu kuchallenge hotuba ya kambi ya upinzani hasa pale aliposema inawadhalilisha waalimu na wahadhiri kwa kusema waalimu wanafanya biashara...
Wapendwa wana JF,kuuliza sio ujinga,bali ni kutaka kujua zaidi. Pengine labda ni ushamba wangu kutokana na maisha niliyokulia,napenda kuelimishwa hapa kidogo. Mtu anapofariki,maiti yake inapelekwa...
Habari zenu wana JF
Leo katika bunge, Dr Magufuli amewakilisha bajeti yake ambapo kila mbunge amepongeza bajeti yake pamoja na kwamba hotuba ya kambi ya upinzani kukosoa hapa na pale bado hata...
Mtu huyo anasema yeye ni Khulekani "Mgqumeni" Khumalo - mwanamuziki wa nyimbo za kiasili za Kizulu ambaye alifariki mwaka 2009. Hata hivyo alizuka katika nyumba ya familia yake wiki iliyopita...
Kutokana na kauli ya PM "Liwalo na Liwe" na muda mfupi kutokea kwa tukio la kutekwa na kuumizwa vibaya Daktari Ulimboka, Wataalam wa saikolojia wanasema neno hilo linahusiana na tukio hilo!, maana...
Tanzania tumesherekea miaka 50 ya uhuru mwaka jana,Rwanda wamesherehekea mwaka huu.kwa taarifa serikali ya Rwanda kupitia shirika lake la usafiri wa anga wanandege 18 wakati sisi vikogwe waTZ...
Daktari huyo bingwa mwenye umri wa miaka 52 aliwaambia polisi kuwa alichukua uamuzi wa kuukata mdomo wa mke wake mwenye umri wa miaka 32 kwakuwa mke wake huyo alikuwa aking'ang'ania kudai talaka...
Tutaacha kuweka pesa uswiss?
Nani kakwambia tanzania maskini bana maskini wewe unaekimbizana na jua la aSbh mpaka jioni wenzio wanaita usiku wewe unahangaika na maisha....nimesoma sehemu matumizi...
The additional airport Tax of Usd 10 will be collected by DESTINATION ZONE LIMITED at the airport from all departing passengers effective from 1st Jul 2012, due to the increase of airport taxes...
Tume ya ushindani wa kibiashara nchini imekamata matairi ambayo yanadhaniwa kuwa ni fake kwenye soko la tanzania,matairi hayo ya pikipiki yamekamatwa Dar es Salaam tu,,,,,,,
sosi:jamboleo
wadau...
YULE MDUDU RUSHWA
ATIKISA ELIMU :
Wachapishaji wa vitabu nchini Tanzania Oxford
University Press walitoa RUSHWA kwa watendaji wa serikali ili kupata
tenda ya kusambaza vitabu
nchini...
1.maji
2.elimu
3.afya
4.kilimo
5.hali ya umaskini
Kwa heshima nianze na salamu kwa wazee wangu wote ndani ya jimbo.pamoja na vijana wenzangu mnaoweza kujitokeza kupiga kura ya kuamua...
WAKATI ikielezwa kwamba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk Steven Ulimboka anatibiwa Afrika Kusini, kuna taarifa kwamba amelazwa katika hospitali moja ya huko Ujerumani.Habari zilizolifikia...
Mkutano mkubwa TGNP mabibo leo kuhusu mgomo wa madaktari na mustakabali wa afya za watanzania utafanyika leo saa 9 alasiri hadi saa 11 jioni.
MADAKTARI OTE WANAALIKWA KUHUDHURIA.
MADA: MGOMO...
waumini wa mikocheni B assy of GOD mnajua k new palm tree resort ni Mchungaji G rwakatale? iko pale bagamoyo. au anatekeleza ile kauli ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu?
Ndugu wanaJF, leo wakati wa Kipindi cha Patapata kinachorushwa na Wapo Radio kuanzia saa 1:15 asubuhi nimemsikia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akiwataarifu wananchi kuwa huduma za...
Inavyofahamika ni kuwa wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya huteuliwa na Rais hii ina maana kuwa ni makada wa chama tawala na kama jibu ndio hilo hata mishahara yao ilitakiwa walipwe na chama...