Naomba kujuzwa kuhusu nini kinachofanyika maiti inapopelekwa Mochwari!

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Wapendwa wana JF,kuuliza sio ujinga,bali ni kutaka kujua zaidi. Pengine labda ni ushamba wangu kutokana na maisha niliyokulia,napenda kuelimishwa hapa kidogo. Mtu anapofariki,maiti yake inapelekwa mochwari,kwa uelewa wangu najua mochwari ni sehemu ya kuhifadhia maiti. Naomba mnijuze kama kuna cha ziada kinachofanyika katika mwili wa marehemu unapokuwa mochwari.
 
Mochuari pia ni sehemu ya kufanyia uchunguzi wa maiti, pale mtu anapokuwa amekufa ghafla au kwa ajali au kama kifo chake kiligubikwa na utata............
 
Mochwari ni kuhifdhi mwili usiharibike. Hata kuoshwa. Hata kuchunguzwa kifo kimesababishwa na nini. Unapopeleka maiti huko lazima uwe na history ya makaratasi yake kama dawa dawa, ili ijulikane alikua akiumwa na matibabu yalikua yakiendelea. Na isije ikawa wewe ndo umemuarrestisha halaf unampeleka.

Am saying from xperince
 
Maswali mengine ya kitoto.
Maswali ya kikubwa ni yapi acha mambo yako.hii ni forums kila mtu anazungumza kile anachohisi bora kisifunje sheria na taratibu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hili ndo tatizo letu, mtu anauliza swali apatiwe ufumbuzi, anaambiwa swali la kitoto,

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
km ungekuwa mkubwa ungejua mochwari ni nini? Omba yasikukute utajua tu mochwari nini mdogo wangu.
 
Wapendwa wana JF,kuuliza sio ujinga,bali ni kutaka kujua zaidi. Pengine labda ni ushamba wangu kutokana na maisha niliyokulia,napenda kuelimishwa hapa kidogo. Mtu anapofariki,maiti yake inapelekwa mochwari,kwa uelewa wangu najua mochwari ni sehemu ya kuhifadhia maiti. Naomba mnijuze kama kuna cha ziada kinachofanyika katika mwili wa marehemu unapokuwa mochwari.
BBC News - Living on death in Zambia: 'Dead bodies can't harm you'

kula kashata kwenye website hiyo...usiogope lakini
 
Wapendwa wana JF,kuuliza sio ujinga,bali ni kutaka kujua zaidi. Pengine labda ni ushamba wangu kutokana na maisha niliyokulia,napenda kuelimishwa hapa kidogo. Mtu anapofariki,maiti yake inapelekwa mochwari,kwa uelewa wangu najua mochwari ni sehemu ya kuhifadhia maiti. Naomba mnijuze kama kuna cha ziada kinachofanyika katika mwili wa marehemu unapokuwa mochwari.
Mkuu nakushauri uende tu pale Mochuari,kuna jamaa pale anaitwa Beberu atakusaidia kupata uelewa wa hilo Swali lako. Jamaa wako super friendly na uhakika watakupa majibu na kukuonyesha nini kinachofanyika hapo Mochuari. Nilienda pale kipindi cha nyuma kumtambua ndugu yangu,ndipo nilipokutana na huyo bwana Beberu na wenzake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom