Dr.Magufuli Bajeti yake kupongezwa nawabunge. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr.Magufuli Bajeti yake kupongezwa nawabunge.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtanganyika1, Jul 5, 2012.

 1. M

  Mtanganyika1 Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF
  Leo katika bunge, Dr Magufuli amewakilisha bajeti yake ambapo kila mbunge amepongeza bajeti yake pamoja na kwamba hotuba ya kambi ya upinzani kukosoa hapa na pale bado hata baadhi ya wabunge wa upinzani wamempongeza magufuli, kwangu mimi naona ccm wamuweke awe mgombea wa uraisi 2015. la sivyo ccm sioni kama kuna mtu ambaye atasisimama kukabiliana na Dr, Silaa.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nildhani umeweka iyo hotuba!
  Pombe hawawezi mweka for 2015 bse hatabiliki as anaweza waweka ndani ata waliomuweka madarakani yakatokea kama ya uko zambia
   
 3. M

  Mtanganyika1 Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uwezekano huo upo angalia hata kwenye mikutano yao ya hadhara mara yingi wamekuwa wakimtumia.anyway ngoja tuone.
   
 4. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,032
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  LIWALO NA LIWE. Himepita ? Ndioooooo......,
   
Loading...