Huyu mwigulu nchemba vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu mwigulu nchemba vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TWIZAMALLYA, Jul 4, 2012.

 1. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimesikiliza Bunge jana na kumsikiliza mwigulu akijaribu kuchallenge hotuba ya kambi ya upinzani hasa pale aliposema inawadhalilisha waalimu na wahadhiri kwa kusema waalimu wanafanya biashara wakati wa kazi na wahadhiri wanafundisha vyuo zaidi ya vile walivyoajiriwa.Mwigulu anauita huu ni udhalilishaji kwa watu hawa,hapa anatafuta kupata umaarufu kwa watu hawa.Hapa mimi naona anajisumbua tu kwani ni kweli kabisa waalimu wanafanya biashara na ni kweli kabisa wahadhiri wanafundisha vyuo zaidi ya walivyoajiriwa navyo.Hata kama chadema hawakutumia neno baadhi ya waalimu na wahadhiri ndio wanafanya hivyo vitu hii haiwezi ikachukuliwa kama matusi kwa waalimu. Kwani Chadema kwa hoja zao hizo walikuwa na maana ya kutetea maslahi ya waalimu na si kingine,sasa Mwigulu anajaribua kupindisha maana ili waalimu waje juu?,huyu jamaa anatakiwa arudi darasa la kwanza na sitoi kauli yangu.Haya ni matatizo ya kulelewa na watu baki kwani jina lake MWIGULU NCHEMBA ni jina la kisukuma kabisa ambalo mtu wa kabila jingine hawezi akalitumia hivi hivi tu bila sababu ya msingi.Huwezi kuta jaluo kwa mfano anaitwa MASAWE.kwa wasukuma hasa wale wa igunga na Nzega watakubaliana na mimi kuwa WANYIRAMBA wengi kwa sababu ya hali ngumu huwa wanahama kwao n a kwenda usukumani kutafuta maisha.Wakifika huko wanaomba hifadhi kwa ma-TAICOON wa kisukuma ambapo hupewa kazi za kuchunga ng'ombe na kulima.Wasukuma kwa sababu ya utani wao huwa wanawabadilisha majina yao kwa kuwachukulia kama watoto wao hivyo Sir name inaanza kubadilishwa haraka na kutambuliwa ya yule bosi wake.Huyo kijana akifikia muda wa kuoa atalipiwa mahari na bosi wake.Akija kupata mtoto ni huyo baba wa kufikia ndio ana mamlaka ya kutoa jina kwa mtoto aliyezaliwa.Kwa hiyo inawezekana tu baba wa jamaa alienda usukaumani kutafuta maisha akapewa jina la NCHEMBA na wasukuma baadaye alizaa mtoto akamuita MWIGULU.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Yaani huyu ni Mwehu ..sijui wananchi wake walimpaje kura ,,
  OOh my god yaani kila siku napomwangalia anongea pointless anaacha kuongea yanayotakiwa ..mlalamishi...hana uelewa yaani yupo yupo tu..
   
 3. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,813
  Likes Received: 1,057
  Trophy Points: 280
  umezoea ukabila, badilika!
   
 4. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  bora mwigulu kuliko wewe, mbona tunatumia majina ya kizungu?
   
 5. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Mwigulu amesoma lakini hajaelimika,anatia aibu taalumu yake kwa ku argue vitu irrelevant,nina mashaka na hiyo first class yake ya uchumi.
   
 6. P

  Penguine JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  lakini pia mwigulu asipo rekebishwa aina yake ya uchangiaji inalichimbia kabuli ccm yake. Hayumo kiutatuziwa matatizo yupo kishari anajaribu kurudisha umaarufu w Ccm kwa wananchi kwa nnia ambayo siyo sahihi. Ukweli ni kwamba walimu wamechoka, mazingira yao ya kufundishia ni magumu mno. Nilitaraji mchango wa mwigulu ujielekeze ktk utatuzi wa shida hizo. Naamini hajaelimika
   
 7. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mwigulu ni lini atawawakilisha wana Iramba kama kila siku yeye kutafuta vijisentensi katika hotuba za watu......hakika Wanairamba hawatakombolewa na uwakilishi wa namna hii nenda leo Iramba uone shida walizonazo wanajimbo lake lakini hata siku moja ajakaa na kuisimamia serikali kuwajibika. Kwanini hatumii akili hata ya kuzaliwa tu kama ya madesa imemshinda?
   
 8. n

  nang'oro Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpuuzi
  tu huyo Mwigulu!!
   
 9. m

  mdon New Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hajielew ndo wale wale wa nyeupe anasema nyeusi
   
 10. m

  mdon New Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  issue sio jina hana logic yan premises hazsupport conclusion anaongeaongea tu
   
 11. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Nani kwakwambieni Nchemba alipata First Class ya Uchumi? Wakati wanamaliza pale mlimani aliyeongoza ni jamaa mmoja mkenya alipata 4.3 GPA. Nchemba anakatabia fulani kakujikweza/kujipenekeza ovyoovyo na hila za hapa na pale ili apate kitu fulani (Hiyo tabia kwa CCM ndo kafika). Kujipendekeza kwake possibly ndo kulimfanya yeye na wachumi wengine uchwara wapate kazi BoT.

  Kama kweli ni mchumi First Class na amefenya kazi BoT toka 2006 amesaidaia nini kama mchumi kustreghthen japo shillingi ya Tanzania ambayo since then inaporomoka kila uchwao.

  Ni limbukeni wa elimu tu huyu, hana chochote na wala hajui lolote. Hoja zake ni empty kabisa.
   
 12. n

  nakuru Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa namsikitikia sana anasema mwenzake arudi shule class one, yeye ndo anatakiwa arudi shule tena baby class, hana lolote na nina uhakika wanasingida hawawezi kumpa tena mwaasherati msinzi mkubwa kura zao!!
   
 13. K

  Kiguu na njia Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  anatekeleza ilani ya chama chake kilichompa ubunge
   
 14. ngalelefijo

  ngalelefijo JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 1,806
  Likes Received: 762
  Trophy Points: 280
  Ushauri wa bure, nyinyiemu iko ICU sasa inahaha kuleta mipasho ili watu waikubali.ukweli utabaki kama ulivyo.Nchi ambayo ina kila rasirimali lkn wananchi wake ni hohehahe wa kutupwa wajinga,maskini,wanaonewa,wasiojitambua,wanaokandamizwa na chama tawala wanaona list ya wafuatao kama majina yao yako UN wadhamini wa uhuru wa nchi,hakika lazima izalishe akina nchemba wengi na wengine mimba zitungwe ili wawepo wawepo tu angalau siku za M4C kuingia zisogee. vita kawawa, january makamba, nape nnauye, hussein mwinyi, paulo mzindakaya, mwanvita makamba, Ongezea hiyo list ya wadhamini wa nhi hii huko UN
   
 15. s

  saita Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HAKIKA KAZI ALIYOPEWA MCHEMBA ITAMUAMBUA NCHI NZIMA, WHY BECAUSE UKITAKA WATANZANIA WAKUFAHAMU VIZURI PAMBANA NA CHAMA CHA UKOMBOZI chadema. tabia za watu kama akina mchemba hazina tija kwa bunge na kama hao ndio wachumi tulio nao nchi imekwisha
   
 16. M

  Mr.Kombo Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hakuna cha mugulu wala minyika yote madege yanayotaka umaarufu kwa kuropoka bungen wanasiasa wote waongo tu.
   
 17. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huyu ndivyo alivyo,hata UD alikuwa ni mtu wa vurugu sana wala simshangai hata kidogo,wenyewe walikuwa wanamwita CHIEF alileta shida kwa watoto wetu chuoni,alikuwa anataka kupindua serikali ya kina Zitto Kabwe ila alimshindwa Zitto.watoto wanamkumbuka na wanasema alikuwa anargue vitu vya kijinga ili aonekane anajua,ni mmoja kati ya waliokuwa wanasababisha migomo na mapinduzi yasiyokuwa ya maana na yasiyo kuwa na mafanikio na kuishia wanachuo kurudishwa nyumbani.

  huku amefika atapata adabu sio chuo huku,huyu ni immature complete, kwenye uongozi na siasa.
  nafikiri huu ndio mwisho wake labda wanyiramba wawe wajinga kwa kofia,fulana na vitenge kwani yeye ndio mwenye maamuzi ya vijisenti vya CCM.
   
 18. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Unawashwa washwa tulia chini
   
 19. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hakika umenena nasikia hata huko olevel na alevel ilikuwa shida!!!
   
 20. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo Miwgulu kichwani kwake kuna nyenze.
   
Loading...