naomba updates za Vengu

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
72
Mwenye taarifa ya maendeleo ya Vengu wa Original comed anipe maana ni muda mrefu niliposikia kapelekwa India kutibiwa hata Comedians kina Masanja wako kimya Kuna nini?Hata vyombo vya habari kimya, Kwa mwenye taarifa anijuze.
 
Back
Top Bottom