"Pray For Dr. Ulimboka" Facebook Page | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Pray For Dr. Ulimboka" Facebook Page

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FrankMakange, Jul 8, 2012.

 1. FrankMakange

  FrankMakange Verified User

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Pray For Dr. Ulimboka"
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kazi ipo wakifika tu wasiopenda mgomo wa madr sijui itakuwa..
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Tumuombea kwa liipi hasa, kwa lile la kuua wagonjwa kwa kuchochea mgomo wa kijinga? Ni bora niombee wagonjwa wasio na uwezo wa kupata matibabu kutokana na huu mgomo. Bora tu akafie mbele ili naye aonje adha za kuua watu kwa mgomo wake.
  WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
   
 4. ubun2

  ubun2 Senior Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Prayers for Dr. Ulimboka and his family! May he recover fully! We need #Justice4dr.Ulimboka!!
   
 5. H

  HAKI UINUA TAIFA Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Nami nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nalikuambia, ujapokuwa katika damu yako, uwe hai; naam nalikuambia, ujapokuwa katika damu yako uwe hai" Ezekiel 16:6-7. Tumshukuru Mungu ambaye alimwona akigaagaa katika damu yake akamweka hai hata leo. Neno la Mungu ni ndiyo na amina litazidi kumweka huru.
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Roast In Pieces!
   
 7. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Pepo mchafu Barnabas Shadrack, toka katika jina la Yesu, rudi kuzimu na mapepo wakuu waliokutuma, Jk toooka, Pinda toooka na mshindwe kwa Jina la Yesu. Wenye mapenzi mema na Dr. Ulli tuseme ameeeen!!!!!!!!:israel:

   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,065
  Likes Received: 6,519
  Trophy Points: 280
  mkuu uwe macho sana na majibu kwa vile umejitambulisha mazima mazima.
   
 9. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Aaameen!!
   
 10. a

  andrews JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [h=2]kikwete ni mnafiki no 1[/h]
  Tangu tupate maraisi hatujawahi kuwa na rais mnafiki, mzembe,dhaifu na ndumila kuwili kama kikwete uendeshaji serikali yake umejaa fitina dhihaka na upuuzi mwingi anyemshabikia huyu naomba aweke haya maelezo kwa kuprint au kucopy na baa ya 2015 mtaona kwa nini tz imefika hapa ilipo ni sababu ya huyu mr dhaifu hakuna alichowahi kuongoza kikafanikiwa zaidi ya kutengeneza makundi ndani ya chama na nchini ili awe madarakani kirahisi mungu ibariki tanzania kwa haraka sana tuondokane na huyu mnafiki

  akange;4201125]"Pray For Dr. Ulimboka" Facebook Page
  https://www.facebook.com/PrayForUlimboka
  [/QUOTE]
   
 11. D

  Darick JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Amaeeeeeeen
   
 12. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  ameeen!
   
 13. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,700
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  utakufa ww utamwacha! Uoneshe hata rafikiyako mmoja hiyo ID, atujuze utakapo kuwahaupo nasi,mda si mrefu!what goes around comes around!
   
 14. U

  Ubongo Silaha Senior Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ma-dr wawepo au wasiwepo hospitali wagonjwa wasio na uwezo wanakufa
  Na sababu hata wewe unaijua
  Serikali yako haina uwezo (wa dhamira na si wa kifedha)kuboresha sekta ya afya
  Ina bajeti ya wanasiasa ya kuzurura
  Alianza mkuu wa kaya
  Sasa kamati za bunge zinakula kuku ziarani
  Wana bajeti ya mambo ya kipuuzi kama posho na semina na makongamano
  Wana bajeti za anasa (rejea ofisi ya rais)
  Ila bajeti ya kuboresha huduma za afya hakuna
  Ila sijui hata kwa nini napoteza muda kukuambia yote haya
  Kama hujanunuliwa wewe ni mmoja wa wanaonyonya na kuua wagonjwa wasio na uwezo kwa kufaidika na mfumo huu dhalimu
   
Loading...