Filikunjombe zitto,bulaya na mdee jichungeni

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Kila mwanasiasa machachari na sasa awe makini. Deo port jichunge watu wa ludewa wanakuhitaji. Be paranoid and more suspicious don't be vulnerable to culprit fisadis.

Zitto na Halima be more careful too sasa hivi atakiwa afe kiongozi ambaye ataifanya chadema cha udini hence muislamu anakuwa more vulnerable.

Hakika kutokumwamini mtu na kuishi kwa machale ndio kulitufanye turudi kwenye vita vya uganda salama. Don't let be vulnerable
 
Sijui ni hizi post za usiku "post valuu"!!!!!!?, kama zinatisha vile!, kama un-ethical vile!, sijui ni upepo tuuuu na utapita!
 
Back
Top Bottom