Katuni na uelewa wa katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katuni na uelewa wa katiba mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tembeleh2, Jul 9, 2012.

 1. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haya wana JF nimefanikiwa kuiona katuni iliyo andaliwa na mchoraji mahiri sana (kipanya) ikanifurahisha sana, nikaona sina budi kushare na wana JF mtandaoni ili yapatikane maoni kidogo juu ya uelewa wa zoezi hili muhimu lililoanza siku za karibuni. Je ni kweli katiba haieleweki kwa kiwango hiki????
   

  Attached Files:

 2. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaaaaaaaaaa Tanzania ni CHI PEKEE ambayo katiba zinachapishwa kwa dokezo, na hata maduka ya serikali hazikuepo hadi kufikia 2011. Je tutafika?
   
Loading...