JK Kiboko kwa Misemo...Hebu ona hii!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK Kiboko kwa Misemo...Hebu ona hii!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtego wa Noti, Jun 23, 2012.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Huwa nikikumbuka misemo ya mkulu wetu JK sometimes mbavu zinavunjikavunjika...hebu ona mwenyewe hii misemo yake...mhh...
  ...wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao!.....!
  ...ukitaka kula sharti uliwe............!
  ...akili za mbayuwayu changanya na za kwako.....!
  ...inabidi wataalam mpime DNA za hawa maiti wote waliopatikana kutoka kwenye hii meli ili tuweze kujua ndugu zao.......
  ongezea misemo yake mingine iliyokuacha kinywa wazi!
  .....................
  ......................
  ................
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ninanamda sijamsikiliza maana sionagi cha kujifunza kwa huyu mdhaifu...aliwahi kwenda kufungua visima vya maji kumbe viongozi wake wameweka matank chini halafu wakajaza maji kutoka sehemu nyingine na aliwahi kufungua hotel usikuwake ikabomolewa na serikali kwa kuwa ilijengwa brbrni...kifupi tuna kituko aka dhaifu
   
 3. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  mhh!...hilo la visima nalo kiboko...ia maana hayo matank yalizikwa usiku wa manane ila wananchi kujua?
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  aliemuita dhaifu hakukosea..sijui hawa usalama wa taifa anawatumiaje...
   
 5. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alisema hawajui dowans
   
 6. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jk na ccm yake ni DHAIFU.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuumbuliwa kitaifa na kimataifa kwenye maoni ya bajeti yenye mapato "0" mnaanza viroja.
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,342
  Likes Received: 2,679
  Trophy Points: 280
  huyo mtu kuna kipindi alitembelea nchi moja huku mashariki ya mbali na kasisitiza wanafunzi wa kibongo wasiwe majogoo ya kuazima...maana yake wasiishie tu kujigjig na wazawa bali wafanye kweli kwa kuwazalisha
   
 9. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  anazunguka tuuu kuomba misaada wakati uchumi unatumiwa na mafisadi pamoja na haohao anaowaomba hiyo misaada-dhaifu*100000
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ukiwa kiongozi inabidi uwe na NGOZ NENE
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahhahaaaaa,mh.,......jaman kama kiongoz anasisitiza haya,hapo ipo namna
   
 12. E

  Emma Kayanda Member

  #12
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi tunayo pia aliwahi kusema ...wanaopata ukimwi ni kiherehere chao...
   
 13. E

  Emma Kayanda Member

  #13
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [QUOTE=Bajabiri;41hahahhahaaaaa,mh.,......jaman kama kiongoz anasisitiza haya,hapo ipo namna. Nae pia si ni mzee wa kusambaza
   
 14. w

  wade kibadu Senior Member

  #14
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baba riz mbona chiz pia ni dhaifu so mnyika he didnt made a mistake in real sense.
   
 15. siemens c25

  siemens c25 Senior Member

  #15
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Aliwai kwenda jamaika kwajiri ya kubembea tu,mbona kazi tunayo!
   
 16. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  watu dhaifu hutumia maneno ya kanga.
   
 17. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  ngozi nene?..kweli jk kiboko kwa vijimaneno vya ngomani!...!
   
 18. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  hapo nakukubalia kwa asilimia 1000!
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mara ya mwisho kumsikiliza ni siku alipowachana live waislamu kule Dodoma kuhusu madai yao ya OIC,Mahakama ya Kadhi.... Na sijui ile hotuba aliandikiwa dhaifu yule?
   
 20. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  huyu jamaa anakoelekea siku moja atakuja kusema..siwajui watanzania na wala siijui tanzania! .....
   
Loading...