air port yetu ya kimataifa ni uwanjwa wa ndege au ni kichekesho??!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

air port yetu ya kimataifa ni uwanjwa wa ndege au ni kichekesho??!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rebel volcano, Jul 5, 2012.

 1. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mtu anaesafiri sana kwa kutumia uwanja wa kimataifa wa dar es salam,hakika atakutwa na matatizo mengi kabla ya kupanda ndege,na hata wakati wa kurudi.
  hivi asali lita 3 zawadi mpaka ilipiwe kodi??!!
  mara moja ilinibidi nimuachie jamaa dawa za mswaki na mafuta ya kupaka kwa jinsi alivyoning'ang'ania nimwachie!
  wakati wa kurudi hakuna dalili yoyote ya usafi!!
  vyoo mazingira yake ovyo!!!
  hata foleni zenyewe wakati wa kugongwa pass zinakwenda taratibu sana na joto la ajabu hakuna mfumo wa viyoyozi!!
  wakati wa kuchukua begi zako,nashangaa hata matunda yasiyozidi kilo 5 umenunua labda 25000 kodi yake utaambiwa 80000/=
  au redio yako moja ya matumizi wala si ya biashara ushuru!!
  blender moja tu ya matumizi nayo ushuru!!
  anashuhudia mungu wangapi tumeacha vitu vyetu hapo,na sijui vipo hapo au wamevibeba makwao!!
  tanzania upande wa air port kuna maudhi sana ya ajabu!!!
  sijawahi kuyaona nchi zoote nilizotembelea!!
  nchi la kimaajabu hili
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  yaani hapo kuna urasimu sijawahi ona. Halafu nikamsikia mtu mmoja akisema eti uwanja wetu una hadhi ya ule wa Cape town nikamshangaa sana. Yaani kama unaondoka tabu kurudi ndio usiseme
   
 3. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Poleni wakuu mie viwanja vyangu vya kujidai ni TRC
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Labda ni kukosa uelewa, lakini jomba unpoongelea suala la Kiwanja unaongelea dhana pana mno. KIwanja kina watu Airline operators, Meteorological agency, Civil Aviation, Business community, Airport Authority nk. Sasa unapolaumu kiwanja kwa ujumla hueleweki na unaonyesha upungufu wa uelewa. Kwa nilivyokuelewa mm, unaongelea masuala ya TRA na ushuru, ambapo si ishu ya Kiwanja as whole, bali idara moja tu.
  Tujifunze kuwa specific kwenye hoja.
   
 5. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umesomeka hivi swala la usafi,na kuboresha mazingira ya air port,wahusika ni t.r.a ama??!!
  usisome kwa pupa kama umetoka kwenye ugomvi na dem wako!!
  zingatia kidogo wengi huwa mnafeli hivyo hivyo kwa kuelewa swali na kutoelewa ni jinsi gani ujibu!
   
 6. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Kilichopo pale ni wizi, wivu na ujanjaujanja wa siku zote wa nchi yetu...vitu vingine mpaka vinatia aibu! Ni kweli kuna karantini ya kuzuia bidhaa za matunda na mbegu toka nje ya nchi bila vibali lakini watu wetu watueleze kuwa huwa wanapeleka wapi yale matunda wanayo confiscate pale airport? wanapeleka wapi vile vipodozi wanavyonyang'anya watu kwa nguvu pale airport? taifa limeoza kila mahali...ni dalili za anguko la serikali yetu
   
 7. P

  Puza Senior Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hivi wadau kwa zawad ndogondogo kama za electronics ziwe aina moja kama camera,simu au ipod Wawaletea watu tofauti kitu aina moja idadi mwisho kiasi gani unaweza pita nazo bila kulipia ushuru
   
 8. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo swali hata ukimuuliza mfanyakazi wa t.r.a aliopo air port kwa kukusanya mapato hakupi jawabu ukamuelewa!
  kama huamini jaribu,sasa sijui hata hao wakusanya kodi wenyewe hawaelewi au??!!
   
 9. P

  Puza Senior Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ok ngoja tusubir wataalam zaid
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  wewe uko idara gani mkuu?,
   
 11. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 2,068
  Likes Received: 783
  Trophy Points: 280
  bongo ni new york teeeehteeeh wapi ritz/suzie...kakiwanja ka ndege utafikiri car boot sale....sunday market..
   
 12. R

  Richard Nguma Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nashukia NBO halafu nakamata
  Shuttle to AR ,Hamna mauzauza:)
   
 13. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Kuna watu hata wasome vp hawa taste ! Ndo maana wanasubutu kulala na mifugo, tena nguruwe na ng'ombe majumbani mwao. Mtu kama huyo hawezi kuona matangazo ya biashara pale ni takataka, hawezi kuona choo ni issue !
   
Loading...