Tamko la pamoja la viongozi wa dini kuhusu mgomo wa madaktari leo tarehe 07/07/2012, travertine hote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la pamoja la viongozi wa dini kuhusu mgomo wa madaktari leo tarehe 07/07/2012, travertine hote

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lunyamu, Jul 7, 2012.

 1. l

  lunyamu Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  TAMKO LA PAMOJA LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI LEO TAREHE 07/07/2012, TRAVERTINE HOTEL, DAR ES SALAAM.
  (Viongozi hawa walitoa tamko baada ya kukaa na madaktari, wanaharakati na watu wa taasisi za haki za binadamu...)

  1. TUNAIOMBA SERIKALI IFUTE KESI ILIYOKO MAHAKAMANI
  2. TUNAIOMBA SERIKALI IWAREJESHE MADAKTARI WOTE WALIOFUKUZWA KAZI
  3. TUNAMUOMBA Mhe. RAIS AKUBALI KUTKUTANA NA VIONGOZI WA DINI NA MADAKTARI ILI KUMALIZA MVUTANO HUU. MADAKTARI WAKO TAYARI.
  4. TUNAOMUOMBA Mhe. RAIS AUNDE TUME HURU ITAKAYOCHUNGUZA SAKATA ZIMA LA WALIOHUSIKA NA UTEKWAJI, UDHALILISHAJI NA UTESWAJI WA DK. ULIMBOKA STEPHEN. TUME HIIYO TUNAOMBA ISHIRIKISHE VIONGOZI WA DINI, SERIKALI, WANASHERIA MADAKTARI NA TAASISI ZA HAKI ZA BINADAMU.
  5.TUNAIOMBA SERIKALI KUTOA ULINZI WA UHAI WA DK. ULIMBOKA STEPHEN NA MADAKTARI WENGINE.

  Imesainiwa na Sheik. Said Mwaipopo (M/Kiti Baraza la Habari La kiislamu Tanzania) na Rev. Lawrence Mnzava kutoka E.A.G.T-MABIBO)
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama mhe. Rais atapata muda wa kukutana na madaktari maana nasikia next week anakwenda uingereza. Akitoka huko atakwenda swaziland kuhudhuria bethdei ya mtoto wa mfalme, akitoka huko atakwenda kufungua mashamba darasa kule mwanuzi, shinyanga, akitoka huko ana appointment ya kukutana na muigizaji wa filamu, Pawpaw kule abuja na baadaye atakwenda USA kuangalia maendeleo ya utengenezaji wa vyandarua awamu ya pili. Labda mwezi wa tisa ndo atakuwa na nafasi
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Viongozi legelege wanaoongoza nchi kilegelege sidhani kama watalitilia maanani!hoja hii ni nzuri endapo serikali italichukulia kwa uzito,but kwa kikwete na pinda sidhani!Mkuu wa nchi alitakiwa kutatua matatizo ya nchi yake,badala yake amekuwa mtu wa kupanga safari na kusafiri safari isiyokuwa na tija kwa wananchi na nchi kwa ujumla.nukta
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wabunge wako busy na mpira wa Simba na Yanga!

  Kwanini tunawalipa wabunge, kama viongozi wa dini wanafanya kazi ya kuwakilisha wananchi?

  NB: Utaona serikali 'inaombwa' hata kulinda usalama wa raia! Waliapa kufanya nini?
   
 5. Xidian

  Xidian JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Nimeiona channel ten!
   
 6. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nimeiona hii kitu ITV...Kikwete kweli anaweza kukutana na madaktari,viongozi wa dini na wanaharakati wa haki za binadamu kwa pamoja?
   
 7. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Good reaction..lets wait for actions
   
 8. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Headline inapotosha. Ilitakiwa iwe '' Tamko la Sheik Said Mwaipopo na Rev. Lawrence Mnzava kuhusu mgomo". Sidhani walikubaliana na dini zote za TZ watoe tamko kwa niaba yao.
   
 9. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  hayo wanayotaka yote rais ameshayajibu...
  amesema
  • anaetaka arudi lakini serikali itawahudimia kwa uwezo uliopo na kwamba madai yao mengine yatashughulikiwa kwa kadri nguvu ya serikali itavokuwa
  • ama kuhusu anayehisi hawezi kufanya kazi basi bora aache kazi ..na kutafuta kazi sehemu nyengine ambayo anaona maslahi ni makubwa,lakini kwa sasa serikali haina uwezo wa wanayotaka
  • hakuna aliefukuzwa ila kuna ambao hawaripoti kazini hivyo wamejifukuzisha wenywewe. hakuna mwajiri ambaye atakubali kulipa mtu ambaye hafuki kazini
  • ima kuhusu ulimboka amesema wazi anaomba uchunguzi ufanyike haraka...na uwe wa wazi..hili pia waziri mkuu ame hakikisha ndani bunge kwamba uchunguzi utafanyika ili9 ukweli ujilikane..
  • kuihusu kumlinda ulimboka hili sidhani kama ni vyema kwa serikali wataweza kwani madaktari walikataa na tangu mwanzo hawaku ishirikisha serikali na wameendelea kumficha amabapo utazorotesha kupata ukweli wa kisa chenyewe.
  hawa waliokutana ilikuwa pati ya soda mambo haya yote rias amesha yasema kwa ufasaha kabisa...
  ilitakiwa hawa wawashauri madaktari warudi kazini kuokoaq maisha ya watanzania na pia waendelee kuzungumza na serikali kuhusu madai yao sasa wakutane na rais wafanye nini ? unataka rais afanye nini? atawaongezea hio mishahara ? wambieni ukweli wana nchi hawapo pamoja na madaktari kwa kitendo chao walicho kifanya
  mgomo wao mara hii ume flop kwani haukuwa na sababu ila kuwakomoa maskini wa nchi hii ambao hawana uwezo wa kwenda hospital za binafsi au hospitali za hao madaktari kama Tumaini
   
 10. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kiburi cha dhaifu hawa kijui hawa hawata muona kamwe.
   
 11. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  kuna kitu madaktari wanajaribu kuki address hapa! ila tunashindwa kuunganisha dots! nchi ina rasilimali za kutosha tunashindwa kwel kuboresha hosp zetu na maslah yao! tunahitaj viongoz na sio watawala'
   
 12. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Hata huo mwezi sidhani kama ratiba itaruhusu! Programme yake iko tight.
   
 13. s

  slufay JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Serikali dhaifu haitaki changa moto. Mimi naogopa viongozi wa dini watauwawa na serikali. Wataambia wavue makazi wakutane jukwaani
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,396
  Trophy Points: 280
  There is no moral equivalency between the failures of a corrupt ruling elite and the actions of the striking doctors. NONE whatsoever!
   
 15. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,378
  Likes Received: 8,537
  Trophy Points: 280
  Sosi ITV habari

  Wadai ni katika kumaliza mgomo na wamesema kuwa ni kweli rais anadanganywa ni vema akakutana na viongozi wa dini na madaktari na wananchi wanaumia.

  Concern

  Nashukuru viongozi wa dini kukiri kuwa Jk anadanganywa sasa hao wanaomdanganya watachukuliwa hatua gani. Jk kashindwa kuchanganya na zake?
   
 16. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watu wa jk wanadai mgomo umekwisha.
  Kwa namna nyingine watu wanaoendelea kufa kwa kukosa hiduma za afya hawampi hedek kikwete
   
 17. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Nipo naangalia ITV hapa ambapo viongozi wa dini (wakristo na Waislam) wametoa tamko kuwa wanataka kumuona JK ili kumshauri juu ya kumaliza mgomo wa Drs kwa vile wanaamini taarifa anazopewa na wasaidizi wake si za kweli na zinaliumiza taifa.

  Pia wamemtaka aunde tume huru kuchunguza tukio la Dr. Ulimboka na wameitaka serikali ya JK itoe ulinzi wa kutosha kwa Dr Ulimboka na Madaktari wote nchini.

  Nawasilisha hayo ndo niliyoweka kuyameza kwenye kaubongo kangu
   
 18. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Pia wamesema sirikalii itoae urinzi kwa DR Ulimboka.
   
 19. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,378
  Likes Received: 8,537
  Trophy Points: 280
  Wanatakiwa kunyongwa
   
 20. O

  Original JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  JK anajua ukweli wote kuliko nyie mnavyojua. Na tokana na ukweli huo ndiyo kawaambia madaktari wachague kazi ama waondoke. Hakuna kuwabembeleza madaktari.
   
Loading...