Mahakama yatoa hati ya kukwamata kwa namala mkopi - mwenyekiti chama cha madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama yatoa hati ya kukwamata kwa namala mkopi - mwenyekiti chama cha madaktari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kereto, Jul 9, 2012.

 1. K

  Kereto Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namala Mkopi
  Just be Informed; Nimeitwa Central Police sababu kuna hati ya kukamatwa mimi Namala Mkopi kwa kosa la kuto tii amri ya mahakama.
  Amri nilopewa inasema hivi;
  MAT isiitishe mgomo na members wa MAT wasishiriki kwenye mgomo!
  Just that U know!:sad::sad:
   
 2. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  huu ni uonezi, kwani wewe naweza kuwakataza watu wasigome, je ukitoa amri ya kutokugoma na wao wakagoma mahakama itakufanyeje?
  je wewe na MAT ndo mliitisha hou mgomo?
  je ukikamatwa ndo litakuwa suluhisho la mgomo?
  je mahakama inajisikiaje kwa kutofuatwa amri yake na imejififunza nini?
  je mahakama iktangaza wananchi tusipige kura (kwa sheria iliyowekwa na magamba kama ikitokea maana wao ndo wako wengi bungeni) kisa kuna sheria inawawataka magamba kutawala milele kwa sheria wayayoweza kujitengenezea bungeni inamaana tutii amri ya mahakama tusidai haki yetu?
  je mahakama zetu zina uhuru kiasi gani kwenye maamuzi yake mbaka zitushawishi tutii kila amri zitazotoa?
  je ni mara ngapi watu hatuziamini mahakama zetu kwasababu zinatumiwa na watawala kwa maslahi yao?
  SULUHISHO LA KWELI HALIPATIKANI MAHAKAMANI, HATA ENZI ZA UKOLONI MAHAKAMA ZILITUMIKA SANA KUTUGANDAMIZIA, KWAHIYO HARAKATI ZA KWELI NI ZA KUSIMAMIA UKWELI BILA KUJALI SHERIA INASEMA NINI.
   
Loading...