POLISI acheni UBABE usio na maana na SONI... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

POLISI acheni UBABE usio na maana na SONI...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Jul 12, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Kwanini mng'ang'anie nyumba zisizo za Jeshi lenu? Hamna zenu? Ni hivi Wakuu: Jeshi la Polisi limegoma kutoa Askari wake wanaoishi katika nyumba za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pale Geti Maji. Askari hao walianza kuishi hapo miaka kadhaa iliyopita. Waliomba nyumba hizo kwa muda kutokana na hali iliyokuwepo ya kukosa malazi.

  Lakini,sasa wanagoma kuziachia. Majadiliano ya kuziachia nyumba hizo baina ya Jeshi la Polisi na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yamegonga mwamba. Chuo kina wafanyakazi wake wanaozihitaji nyumba hizo.Wenyewe wanazihitaji.Tena,Polisi hawalipi chochote.Wanakaa bure na kibabe tu. IGP Mwema linda heshima ya Jeshi lako kwa kuachia nyumba za watu.Mkishtakiwa kwa jambo hilo mtajisikiaje?
   
 2. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Asanta kwa taarifa
   
 3. m

  mob JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  kwani wao si raia wa tanzania ,kwani wao hawana haki ya kufaidika na keki ya taifa.
   
 4. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 1,364
  Trophy Points: 280
  waende wakafyeke sobibo yao mabwepande waishi huko,,,alaaa!!
   
 5. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwani uhaba wa nyumba hapo chuoni ndio umeanza siku hizi?
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwani walizipataje na makubaliano yalikuwaje?
   
 7. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  polisi ya Tanzania ni sawa na mbwa koko wa kijijini ambaye mavi na kinyesi ni chakula chake kikuu.
   
 8. Kifimbo Cheza

  Kifimbo Cheza JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  MKUU KANGA, UNA UBONGO KICHWANI MWAKO KWELI......teh teh teheeeeeeeee!!!!!
   
Loading...