Sheikh Sharrif Bado ni Muislamu

Haki

JF-Expert Member
Jan 14, 2009
356
17
Habari za kweli ni kwamba Sheikh Sharrif bado ni Muislamu. Sheikh sharrif bado anaendelea kutoa mada mbalimbali za kufundisha dini ya Kiislamu na tabia njema kwa binadamu wote. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Msikiti wa Mtoro, kuhusu mihadhara yake ambayo inapendwa na watu wote duniani.
 
Haki,
wacha ubabaishaji sheikh kaokoka full stop.
Kama yuko sheikh mwingine anayedai yeye ni sheikh sharif huyu utakuwa umemtengeneza mwenyewe.Ninachojua Sharif sasa yuko katika maombi ya toba tena akiwaombea wale masheikh wanaofuga majini.

Vita vyetu si juu ya nyama na damu bali ...................
 
Sheikh Shariff wa kweli alizaliwa Mkristo, na kamwe hakuwa Muislamu kwa ridhaa yake mwenyewe kwa vile alikuwa mdogo mno kufanya uamuzi mkubwa kama ule wa kubadilisha dini.

Pia ni uwongo mkubwa kwamba alikuwa na vipaji vya ajabu vya kusoma na kuielewa Kurani na kuhubiri kwa lugha tano kama inavyodaiwa na Waislamu. Sanasana alikuwa ana uwezo mkubwa wa ku-memorize, kukariri na kuigiza kama alivyofundishwa na Waalim wake. Ni mtoto ambaye alitumiwa tu kibiashara na matapeli wa Kiislamu.

Ukweli zaidi kuhusu Shariff Iddi unaweza kusoma hapa: http://www.wikiislam.com/wiki/Shariff_Idd
 
Haki na Kabonde tunaomba namba za simu za Sheikh Sharrif tuwasiliane naye mwenyewe! Kila mmoja (Haki & Kabonde) atoe simu ya Sheikh Sharrif anayemfahamu. Alternatevely, Haki nenda kwenye mhadhara Msikiti wa Kwamtoro upige picha ya huyo unayedai Sheikh Sharrif, Kabonde nenda kwenye Kanisa husika upige picha ya unayedai Sheikh Sharrif akiwaombea watu. Kisha leteni hizo picha na kuzibandika humu kama itawezekana ili kuondoa utata wa identity ya Sheikh Sharrif! Nimeshindwa kuchangia mada hii vizuri kwa kuwa kuna wanaodai huyo Sheikh kaokoka na wengine wanadai bado ni mwislamu! Pls clear this confusion!
 
Haki,
wacha ubabaishaji sheikh kaokoka full stop.
Kama yuko sheikh mwingine anayedai yeye ni sheikh sharif huyu utakuwa umemtengeneza mwenyewe.Ninachojua Sharif sasa yuko katika maombi ya toba tena akiwaombea wale masheikh wanaofuga majini.

Vita vyetu si juu ya nyama na damu bali ...................

Wewe acha ushabiki wako wa kidini. Sasa kama bado muislamu wewe unakasirika nini? Muhimu siyo watu kubadilisha dini; bali wale waliopo ndani ya dini, je wanafanya wema kulingana na dini wanazo amini?
 
hivi kama mtu kweli una imani na dini yako uliokuwa nayo sasa hivi,ni kitu gani kinakusumbua kuhusu dini zingine mpaka kuweza kuingilia katika mijadala mizito?
 
Kuna kampeni iliyoanzishwa na kikundi cha dini ili kuanza uhasama na dini zengine. Halafu hii JF imeundwa kwa ajili hiyo. Kwa sababu, wao kama wana habari kwanini waziachie habari za kinafiki bila ya kuzitoa? Huu ni mpango maalum uliondaliwa. Tungojee matokeo yake.
 
Inawezekana.
 
Mbona hilo lipo muda mrefu, mimi nilishalishtukia kitambo ndio maana sichangii siki hizi .hii ni Crusade Forums wakulaumiwa ni mod
 
Jamani naomba muelewe kuwatupia mamod mizigo sio vizuri, kila mtu anao uhuru wa kuchangia mada hata kama kaandika pointles haijalishi mbona wengine tunasoma tu! Kwani lazima uchangie?

Yule wanaesema kuwa bado ni mwislam ni sheikh mwingine nimeongea naye kisayansi,
Ila yule mtoto sheik ndo ameokoka, ila nasikitika sana kuona wamemwaribia future huyo kijana, nikweli watoto wa hivyo wapo wenye uwezo mkubwa wakushika vitu even my young brother huo uwezo akiuweka shuleni anakuwa faida kwa taifa na sio khasara.
 
Uislamu na ukristo dini zote zinapromote blind faith, zinaamini katika a nonexistent godhead and in my opinion they are equally fraudulent. And I can argue my case reasonably well.

Kwa hiyo kwangu mimi awe muislam au mkristo mie naona ni utumwa ule ule tu.
 
Haki na Kabonde tunaomba namba za simu za Sheikh Sharrif tuwasiliane naye mwenyewe! Kila mmoja (Haki & Kabonde) atoe simu ya Sheikh Sharrif anayemfahamu. Alternatevely, Haki nenda kwenye mhadhara Msikiti wa Kwamtoro upige picha ya huyo unayedai Sheikh Sharrif, Kabonde nenda kwenye Kanisa husika upige picha ya unayedai Sheikh Sharrif akiwaombea watu. Kisha leteni hizo picha na kuzibandika humu kama itawezekana ili kuondoa utata wa identity ya Sheikh Sharrif! Nimeshindwa kuchangia mada hii vizuri kwa kuwa kuna wanaodai huyo Sheikh kaokoka na wengine wanadai bado ni mwislamu! Pls clear this confusion!

Wewe umenena. Huenda wenzetu wanazungumzia watu wawili tofauti. Hakuna dini inayoruhusu ushirikina, uuaji, uongo, uzinzi, wizi wa aina zote na mambo mengine machafu machoni pa jamii.
 
Jamani naomba muelewe kuwatupia mamod mizigo sio vizuri, kila mtu anao uhuru wa kuchangia mada hata kama kaandika pointles haijalishi mbona wengine tunasoma tu! Kwani lazima uchangie?
Yule wanaesema kuwa bado ni mwislam ni sheikh mwingine nimeongea naye kisayansi,
Ila yule mtoto sheik ndo ameokoka, ila nasikitika sana kuona wamemwaribia future huyo kijana, nikweli watoto wa hivyo wapo wenye uwezo mkubwa wakushika vitu even my young brother huo uwezo akiuweka shuleni anakuwa faida kwa taifa na sio khasara.
ACHENI KUJIDANGANYA na kudanganya watu! Shekh sharifu bado ni muislam, huyo mliyenaye mmemchonga wenyewe!
Endeleni kumuabudu, kama mnavyo muabudu Issa mwana wa Maryam ambae ni BINADAMU
mwenzenu
 
Sasa kama hawafanyi kazi zao vizuri hao mods kwanini wasilaumiwe?
 
ACHENI KUJIDANGANYA na kudanganya watu! Shekh sharifu bado ni muislam, huyo mliyenaye mmemchonga wenyewe!
Endeleni kumuabudu, kama mnavyo muabudu Issa mwana wa Maryam ambae ni BINADAMU
mwenzenu

Asavali hao wanaomuabudu binadamu kuliko nyie mnayemuabudu Shetani anayeishi kwenye lile jiwe jeusi.

BTW, Sheikh SHariff unayemjua wewe na wanaomjua wao labda ni tofauti, sasa usilazimishe wa kwako awe wao. Waache wafanye wanayoona ni sahihi wewe tuliza kipago endelea na SHeikh Shariff wako unayemjua.
 
Jamani mbona najaribu kusoma walivyochangia wengine sielewi maana mara nasikia sijui yuko Morogoro,mara Ngazija,wengine msikiti wa kwa mtoro,kwani huwa kuna masheikh shaarif wangapi? Mwenye info za uhakika atuletee basi ili tuelewe,na pia atuletee na evidence ili tuamini maana mpaka sasa hivi najitahidi kusoma lakini nashindwa kuelewa sana sana nachoona ni malumbano tu huyu anasema hili na yule anasema hili,sasa sijui nimwamini nani,please mwenye info kamili atuletee.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom