Hapa duniani hakuna pesa ya bure wala kitu chochote cha bure, lazima kazi ifanyike, tena kazi inayoeleweka. kila short cut ina madhara yake tena makubwa. Hawa jamaa,GNLD, Forever Living na wengineo wa aina hii kujiunga nao ni kujilisha upepo, they are not what they say they are! ninge kushauri, tafuta watu wenye roho wa Mungu, they will give you reliable answers. Hapa jf, asilimia kubwa wanatumia akili zao bila kuangalia the spiritual part of the matter in question which is very wrong.
Jamii ya wanadamu inateseka na taabu za ulimwengu huu leo, ni kwa kushindwa kuelewa spiritual implications za mambo mbalimbali ambayo wanaingia kwa sababu ya shida za dunia. Shida hazitakaa ziishe mpaka pale mtu anapo amua kumgeukia Mungu katika kristo Yesu na kumtumikia katika roho na kweli (in the spirit and truth). ni vema kufahamu kuwa dunia imejawa na jule Muovu, that means asilimia kubwa ya mambo yanayofanyika duniani ni uovu. Tazama hata iibukapo mijadala inayohusu Mungu na maajabu yake hapa jf, wengi hupinga na kutoa scientific suggestions na kusahau kumbe hata science has its spiritual realm.Jambo laweza kuonekana jema machoni pa mtu lakini (kiroho ni zaidi ya balaa,linaangamiza maisha na hata kizazi). Hivyo hakuna usalama kabisa chini ya jua bila nguvu ya Mungu, Ndipo Mungu akasema pasipo mimi ninyi hamuwezi neno lolote. Which is very right.
Hakuna jambo linalotokea chini ya jua kwa bahati mbaya, hata ndoto, kila ndoto ina maana yake na ujumbe wake, kila jambo huja kwa kusudi lake na kuwa na maana yake. Mara zote mambo yote yasiyo na connection na Mungu huwa ni ubatili (uovu) maani ni ya dunia.
Laiti kama mtu akimshirikisha Mungu aliye hai katika kila jambo, mambo yote, mtu huyo hatokaa akosee popote chini ya jua. Nakushauri engage the spirit (through prayers) you will have all the answers about anything you need. Maana Mungu ni mwaminifu. Watu hawata shauri vema siku zote maana wenye hekima ya Mungu ni wachache sana.