Kuna watu wengine hawana kabisa 'Utambuzi' katika nchi hii... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna watu wengine hawana kabisa 'Utambuzi' katika nchi hii...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IsangulaKG, Jul 9, 2012.

 1. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Madaktari kila siku wanashuhudia vifo.
  vya aina mbili:

  Moja:Kuna watu wanaokuja hospitalini wakikaribia kufa,lakini si lazima wafe kwa sababunkuwepo kwa basic medicines na utaalamu wa daktari watunhao hupona, lakini kama hakuna basic medicine kama kwa mgonjwa wa pressure au anayepoteza damu, mgonjwa huyo hufa.

  Mbili: Kuna wanaokuja wazima kabisa, wala hawako katika hali ya kufa, lakini kutokana na kukosekana kwa vifaa na dawa za kutoa matibabu sahihi watu hawa hufa

  Madaktari wanashuhudia vifo hivi, ni kama injinia anayeona daraja au jengo linataka kuanguka na ana uwezo wa kuzuia lisianguke, lakini hana vifaa.
  Madaktari wamekuwa ni mashahidi, wa kushuhudia vifo vya ndugu zetu, uwezo wa kuvizuia wanao, Ila hawana nyenzo.
  Nani atawasemea hawa marehemu?

  Madaktari wamejitahidi sana kuzuia vifo kwa kufoji nyenzo sizizostahili,ili kuzuia vifo.
  Walimwokoa mjomba wangu, wakamtengezea waya wa drip kama mrija wa chakula kupitia puani..je kwa nini mirija haikuwepo? Wajinga hawajui...
  ....Mpwa wangu akafariki ati kale kakishikio ka sindano , wanakaita 'Kipepeo' kamekosekana, hata ndugu waliporejea kutoka dukani kukanunua, dogo alishakata roho..wajinga hawajui!
  Ni wananchi wangapi wameshuhudia mtu anafariki?
  Nani amewahi kumwona mtu anayekufa anavyohangaika? taswira hizi ndizo wanazobaki nazo madaktari kila wanaporudi majumbani mwao.
  Taswira za watu wakikata roho tena wanajua kuwa wangeweza kuzuia vifo hivyo!
  Nani atawasemea hao marehemu wanaokufa kila siku?
  Ninyi ndugu si mwawaachia madaktari ndo wawe mashahidi wa vifo?

  Hata ukienda hospitali una bima ya afya lakini unaambiwa hakuna dawa..
  Unaenda kununua wadhani ni wajibu wako kufanya hivyo?
  Hujiulizi kodi yako kuanzia kwenye mshahara mpaka bidhaa zote inaenda wapi?

  Yes, watu wasioelewa madaktari wanadai nini ni 'wajinga' Mojawapo ya sifa ya mjinga ni uwezo mdogo wa kuelewa mambo hata aeleweshwe namna gani.
  Madaktari wameeleza kuwa, japo mshahara ni mojawapo ya hoja, hoja kuu ni mazingira ya kufanyia kazi na vitendea kazi!
  Hawa wajinga wamerubuniwa na serikali inayoongelea mishahara tu huku hoja kuu ya mazingira ya kazi na vitendea kazi haiguswi wajinga hawa , wameingia ktk mtego wa propaganda za serikali,

  Wanaharakati wameihoji Serikali, 'Madaktari wametaja 3.5 milioni, je ninyi mtalipa shilingi ngapi? Serikali haijajibu kwanusahihi, wajinga wanashabikia tu!
  Hawa wajinga, hawajui kuwa misamaha ya kodi ya hovyohovyo, matumizi ya anasa na mabovu ya serikali, ubadhilifu wa fedha za umma kama ungethibitiwa hiyo milioni 3.5 angekuwa analipwa dereva....
  Wajinga hawajui...
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa
   
 3. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Asante sana mkuu kwa kuyaweka niliyokuwa nayo moyoni kwenye maandishi yenye ufasaha. Asiyeelewa hili basi tena!
   
 4. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,500
  Likes Received: 1,081
  Trophy Points: 280
  Subiri yaje mashudu ya magamba uone pumba zao! Hayaelewi!
   
 5. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  MJINGA NI WEWE.

  Tumewauliza hapa mara nyingi tuelezeni miiko ya kazi yenu inasemaje kuhusu wakati mnapoona mnadhulumiwa au mna mgogoro na mwajiri,hakuna nayetufahamisha.
  Tumewauliza ya kuwa mnatambua taratibu za kufuata kabla ya kugoma,hakuna nayeeleza kitu.
  Wakati nyumba yako inataka kuuzwa nawe hukuridhika huwa unakimbilia mahakamani na kuomba zuio na likitolewa nyumba haiwezi kuuzwa tena mpaka shauri lifanyike na hiki ndicho serikali ilifanya lakini kwa kuwa mmesoma lakini hamtaki kujifunza zaidi mnabishana mpaka na mahakama ambayo kesho itakuwa upande wenu.
  Huwezi kuondoa ufisadi na wizi kwa kuacha watu maskini wafe,totally unaaceptable and two mistakes will never make one right.
  Mnapoteza credibility katika jamii.
   
 6. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  The topic speaks for itself
  Nishasema tuna watu 'wajinga' Sana nchi hii!   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Funguka mkuu!
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nyerere alipelekwa hospitali ya hadhi lakini bado alikufa.
  Wacheni kulalamika, shaurini serikali wakatatue matatizo ya madaktari.
  Tatizo tulifundishwa kuwa udaktari ni wito.  Ila kwenye harakati kama hizi ndipo tunapokuja kujua vipaji vya watu.
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  baadhi au wote mkuu?
  Heri ya mjinga kuliko wapumbavu..................
   
 10. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kung'oa meno bila ganzi!
   
 11. S

  SANING'O LOSHILU Senior Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha mawazo ya kizamani kama hao watu ni wajinga basi wewe ni pumbavu manake wewe unafuata mkumbo maana mpaka sasa hujui ni watz wangapi wamepoteza maisha kuanzia ugomo wa madaktari uanzishwe acha upumbavu mjinga wewe
   
 12. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Hongera sana kwa kuwa na mawazo ya kisasa!
   
 13. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  kimya nacho nijibu.ngoja nikae kimya.
   
 14. x

  xzoss New Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  mkuu i wish i could hug you right now,this has been the trend in this hopeless country...people who dont know their own rights and its still the same people complaining that madaktari wauwaji...watanzania ndo chanzo cha matatizo yetu wenyewe so dont point the fingers at the doctors wao nawashukuru wamewafumbua macho tu but as u said above kuna mijitu mijinga imeshaanza kuicrash hii post already.... by definition the govt is made up of the people them selves... too bad vyombo vya habari vinapotosha ukweli,bt hakijaaribika kitu kama mungu alivyosema mwenye macho na ataona tu time will tell
   
 15. x

  xzoss New Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu think before you talk....sorry b4 you write. wewe hukuwepo au hukusoma kwenye vyombo vya habari ama magazeti ama internet kipindi kile mgomo wa kwanza,madaktari wali present to the public madai yao almost 7 of them, waziri mkuu alipoitisha mkutano wa madaktari na vyombo vya habari that time hakuyasoma yote aloud and all people heard them sasa ulitaka this time wayarudie tena ama? hata hao wapenda sheria mwanasheria mkuu hakuusishwa in the beginning na huyo pinda na serikali yake before hajafungua shitaka mahakamani? two wrongs can never make its right but dont forget its still the same wrong as u claim its is...since march to this time it hasnt changed.
   
 16. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  Maelezo yako ni sawia kabisa. Lakini hawa madaktari wanafunzi walishajazwa pepo na wanaharakati na wanasiasa uchwara basi wakawa hawasikii la muadhini wala .... na kilichokuwa katika akili zao ni mafao zaidi na posho zaidi...kuhusu ukosefu wa vifaa tiba na madawa ni unafiki na geresha tu ya kutaka kuungwa mkono na wananchi jambo ambalo wamelikosa! Wataungaje mkono madaktari waliowaacha kwa maksudi wagonjwa wakifa mawodini eti kwa sababu ya madai ya posho na mishahara mikubwa zaidi..km upungufu wa vitendea kazi hakuna kada inayoweza kujinadi kuwa inajitosheleza..na kama mishahara ndio usiseme na kima cha chini si kinajulikana... Lets fight for equitable distribution of our resources and not otherwise!
   
 17. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,218
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  matumizi bilioni tatu kwa makamu wa rais
  nini umuhimu wake

  mh rais ametumia pesa kiasi gani kwa safari za nje


  je? safari hizo na pesa zilizotumika

  zinawiana na faida iliopatikana/anayopatikana
   
 18. B

  Bob G JF Bronze Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wametufanya wengi wetu tuwe wajinga ili watunyonye, watuibie, wapore raslimali zetu, watuue kwa kutunyima huduma za msingi, wasiboreshe huduma za afya kwakuwa wao wanatibiwa nje ya Tanzania, sasa wanatesa na kutisha madoctor na wanasiasa wanaowaondolea ujinga wananchi, hakika hatutakubali, na Tanzania bila ccm umefika sasa
   
 19. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  uko sawa, ila madai ya milioni tatu unusu mshahara huo ulikuwa mkakati wa hovyo kabisa, mmejipendelea sana kwenye mshahara kwani yule anayepokea 135,000/ hamkumfikiria kabisa
   
 20. majonzi

  majonzi Senior Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bravo madadaktari tunajua mnapambana ili sekta ya afya iboreshwe, komaeni tu sisi uku mtaani tumeisha zoea kutumia muarubaini
   
Loading...