Watu wanane wafariki dunia jijini dar baada ya kunywa gongo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wanane wafariki dunia jijini dar baada ya kunywa gongo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Jul 11, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watu wanane wafariki dunia kigogo buyuni wilayani ilala jijini dar baada ya kunywa gongo inayosadikiwa kuchanganywa na spirit pamoja na JIKI ili kuiongezea ukali.source:STAR TV HABARI.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Aisee hatareeeee,hayo ndio madhara ya serikali kutegemea walevi kuendesha nchi,wamepandisha bei ya biereee watu wanahamia kwenye machozi ya simba aka chang'aa aka kingwendu aka maji makali aka kachaso
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,724
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Bia zimepanda bei, gongo na pombe nyingine za asili ni dili MAPATO YATASHUKA KWA KUKOSA KODI, KAMPUNI ZA BIA ZITAYUMBA...
  Kwa taarifa yako: Gongo na uchuuzaji wa madawa ya kulevya ndio kitega uchumi kikuu cha wakazi wa Bonde la Mpunga na maeneo mengine yaliyoathirika na mafuriko, ndio maana wale watu waligoma kuhamia Mabwepande.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  K.O.N.Y.A.G.I- Kunywa Ongeza Nguvu Yafaa Angalia Gongo Inaua

  S.A.F.A.R.I L.A.G.E.R--Sasa Angalia Fa.la Anaagiza Round Ingine Lakini Angalia Gharama Ewe Rafiki
   
 5. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Oops. Mungu awalaze mahali pema peponi, amina.
   
 6. Lilian Masilago

  Lilian Masilago Verified User

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu awalalaze mahala pema???peponi?sijui..lakn inategemea...
   
 7. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Heee......!
   
 8. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Inasemekana pia hua wanatumia matambara ya madonda toka Muhimbili ili kupikia hiyo kitu ili kuongeza ukali.
   
 9. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Aaarrgh!ptwah! Ptwah!.
   
 10. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Let us stop deceiving ourselves,hakuna pahala pema hapo.
   
 11. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Rip watoa lock
   
 12. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wao wanaiita gongo chuma chakavu
   
 13. Buntungwa

  Buntungwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 343
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  wakuu bia zimepanda bei mwendo ni gongo tu watakufa wengi
   
 14. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mbona asubui Mganga Mkuu wa Amana alisema amepokea jumla ya watu8 waliokunya hiyo gongo yenye sumu kati yao 2 ndio waliofariki dunia, watatu wamelazwa wodini na watatu wameruhusiwa kurudi nyumbani baada ya kupatiwa matibabu
   
Loading...