Mtonga Juu-Korogwe kuna tatizo gani kusambaza umeme? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtonga Juu-Korogwe kuna tatizo gani kusambaza umeme?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kacghee, Jul 12, 2012.

 1. kacghee

  kacghee Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kipindi kirefu wakazi wa Mtonga Juu Korogwe wamekosa umeme wa Tanesco bila kuelewa sababu!? Ukweli ni kwamba wakazi wengi wa Mtonga juu wamejiandaa siku nyingi kupata umeme wa Tanesco lakini sasa wamekata tamaa. Sijui ni Tanesco makao makuu ndo watuambie lini umeme utapatikana? Halafu kama kweli Tanesco kuna Wachumi siamini kama wanafanya kazi yao vyema; kwani wanaacha sehemu kama Mtonga Juu yenye wahitaji wengi ambako watakusanya bili kubwa ya umeme na kukimbilia kwingine.
   
 2. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nenda kawaulize ofisini kwao, utapata majibu
   
Loading...