Arusha.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Hatimae majenereta ya kufua umeme yasiyopungua 12 Yaliyofungwa eneo la njiro tanesko ya kampuni ya agreco & symbion yamewashwa rasmi leo.ni mwendelezo uleule wa kuzitafuna pesa za watanzania wavuja jasho bila huruma.
 
HAWANA NAFASI ZA KAZI?
kwa sababu kila tukilalamika wao wanakula,sasa tutakula nao hukohuko.
 
Mkuu mbona umeme hakuna tangu jana.Najuta kulipia Dstv fedha imekwenda bure.
 
huko Mafia jana kidogo mambo yawaharibikie hao Tansco...bahati yao Mungu alikua upande wao!
 
Back
Top Bottom