Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za wakati huu wapendwa. Najua ndugu zetu WAISLAM wapo katika mfungo wa mwezi mtukufu wa RAMADAN, kipekee niwatakie kheri na fanaka"RAMADAN KHAREEM" Ni siku ya tisa tangu nimerejea jijini...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nikiwa muajiriwa katika kampuni binafsi moja hapa nchini. Nimeamua kukuandikia hii barua kutoa dukuduku langu la moyoni juu ya hiyo sheria ya mafao uliyo isaini ya NSSF, PPF na kadhalika. Wewe...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Bi Anne Makinda Spika wa Bunge la Tanzania
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ingawa siyo vizuri kudai dai, lakini uliahidi mwenyewe. Ingawa sijui ni lini utaitimiza, naomba iwe hivi karibuni. Nimeingiwa hofu baada ya kuona jinsi wenzetu walivyokufa kwa maji majuzi huko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Basi la Dar Express na simba mtoto yamegongana uso kwa uso maeneo ya wami.......
0 Reactions
56 Replies
7K Views
nyie wabunge paka siamini kama nyie ndo mlopita kwa wananchi kuomba kura ambazo leo ndo zimewaweka humo bungen. Hii sheria ya mabadiliko Mifuko ya jamii imepitaje au nyie mmeridhika na hivo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba kupata audio ya wimbo wa Chadema. Kama unajua namna naweza upata nijulishe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Poleni na kazi Wadau. Nimeona niweke wazi leo ndoto yangu juu ya fikra yangu dhidi ya Tanzania Mpya. Katika mifano yote nitakayoitoa siiombei Tanzania kuingia kwenye shida wala jambo lolote baya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mjumbe wa halmashauli kuu ya taifa NEC kupitia CCM. ametoa kitabu kinachoelezea uozo, na mizengwe aliyofanyiwa yeye kuanzia ngazi ya tawi, kata hadi wilaya, ili asichaguliwe kuwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ajali hii imetokea maeneo ya Mbezi Afrikana jijini Dar ambapo Lori hili lenye nambari za usajili T 545 BPU lililokuwa likimwaga mchanga na kujikuta likipiga mweleka na kuangukia Gari ndogo aina ya...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Juzi nilimshangaa mbunge mmoja alipokuwa akichangia hotuba ya Wizara ya Habari na kudai eti Mengi ni 'mfano wa kuigwa' katika kushughulikia maslahi ya wafanyakazi. Ukweli ni kwamba waandishi wa...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka 18 jela Kada wa CCM, Rajabu Maranda na binamu yake, Farijala Hussein katika kesi ya tuhuma za kuchota Sh2.2...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nasikia haya mashirika yana pesa nyingi za kutisha lakini jinsi fedha zinavyowekezwa mashaka lazima yatande kila mahala. naomba kuuliza yafuatayo. 1. Hivi hiyo Riba tunayopata ya kama asilimi...
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Baada ya kuangalia "The Great Migation" ya wanyama wanaotoka Serengeti kwenda Maasai Mara Kenya kukimbia ukame Tanzania, kwa kweli nimeshikwa na hasira. Kwa nini? Maasai Mara ni sehemu ndogo sana...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nauliza eti kuna mtu yoyote anayejua sababu za kuvalishwa suti mashujaa walioudhuria sherehe yao wakati mashujaa waliopo Mara wamecho na mavazi yao!?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mh mwakyembe kaka yangu kwanza na kupongeza kwa juhudi ulizonazo ambazo kwa kweli naamini itachukua muda kubadilisha mamiliion ya majambazi kila sehemu unayokwenda binafis umekuwa ukitangaza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamnvi nimesikia Breaking news kuwa jahazi limezama hapo Nungwi na huenda maisha ya watu yamepotea tena, mwenye habari kamili naomba aje nazo.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Anzeni ku-pack mabegi yenu,kaeni mkao wa kukwea pipa, Vasco da gamanism imepata sababu ya kuendelea ku-take place,maana safari ya Accra-Ghana ndo hiyooo imewadia.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF. Naomba msaada wenu, kueleweshwa hatua kwa hatua na gharama zake ili kupata hati ya kumiliki nyumba/kiwanja. Nimejenga maeneo ya Kimara na ninahitaji kupata hati. Anayefahamu anisaidie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
samahani sana kwa kukuchukulia muda wako ila naomba angalia attachment kisha ukate tiketi sahihi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…