Msaada: Mchakato wa Kupata Hati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Mchakato wa Kupata Hati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Goodrich, Jul 10, 2012.

 1. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Wana JF.
  Naomba msaada wenu, kueleweshwa hatua kwa hatua na gharama zake ili kupata hati ya kumiliki nyumba/kiwanja.
  Nimejenga maeneo ya Kimara na ninahitaji kupata hati.
  Anayefahamu anisaidie ushauri.
  Msaada tafadhali !
   
 2. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Msaada wenu tafadhali !
  Au hata watu wa wizara husika, maana ndio MKURABITA wenyewe huu
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  sina uhakika sana kwa huku mijini...

  ila kule kijijini kwetu, unaenda kwenye serikali ya kijiji, unawalipa hela ya wajumbe.....250,000 {kila kichwa anakula kaduguda...... vipi vichwa 25} hizi ni posho ya kikao cha kukujadili....

  then watakuandikia barua utaipeleka kwenye halmashauri husika, ila ukitka kupata jibu kwa usahihi nenda ofisi za halmashauri yako watakupa mchakato na gharama zake halali plus takrima....

   
Loading...