Lori la Mchanga laangukia Gari ndogo Mbezi Beach

Gumzo

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
211
7
[h=3][/h]
[h=1][/h]

Ajali hii imetokea maeneo ya Mbezi Afrikana jijini Dar ambapo Lori hili lenye nambari za usajili T 545 BPU lililokuwa likimwaga mchanga na kujikuta likipiga mweleka na kuangukia Gari ndogo aina ya Toyota Rav4 yenye lambari za Usajili T839 BSL iliyokuwa imepaki katika eneo hilo.hakuna aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika ajali hii.

KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
 
Hii ajali imetokea kama siku nne (4) zilizopita. Nadhani ni information; siyo NEWS.
 
Mbona lori imeandikwa WARNING huyo jamaa wa R4 hakujua maanake, lol, pole mjomba.
 
kuna lori lilianguka kama vivyo liki mwaga mchanga last week maeneo ya makonde mezi beach.
Lazima kuna uchakavu kwenye hizo lori.
 
MODs naomba mumlike huyu mdau JIJI. Anaonekana kujiunga hapa JF ili ku-promote ki-blog chake, hilo si tatizo, ila anapost habari za zamani na ambazo tayari zimeshaweka hapa JF then anunganisha na hicho ki-blog chake. Na anaziita 'breaking news' wakati ni zilipendwa!
 
kuna lori lilianguka kama vivyo liki mwaga mchanga last week maeneo ya makonde mezi beach.
Lazima kuna uchakavu kwenye hizo lori.

siyo makonde,ni karibu na africana. mimi niliona haya magari wiki iliyopita siku ya ijumaa.
 
Ajali hii imetokea maeneo ya Mbezi Afrikana jijini Dar ambapo Lori hili lenye nambari za usajili T 545 BPU lililokuwa likimwaga mchanga na kujikuta likipiga mweleka na kuangukia Gari ndogo aina ya Toyota Rav4 yenye lambari za Usajili T839 BSL iliyokuwa imepaki katika eneo hilo.hakuna aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika ajali hii.

KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
Ashukuriwe Mungu hakuna majeruhi wala kifo, gari litanyooshwa!
 
Back
Top Bottom