Hon mwakyembe:tengeneza hii barabara(kipande cha riverside-ubungo traffic)tuache porojo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hon mwakyembe:tengeneza hii barabara(kipande cha riverside-ubungo traffic)tuache porojo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Jul 25, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Mh mwakyembe kaka yangu
  kwanza na kupongeza kwa juhudi ulizonazo ambazo kwa kweli naamini
  itachukua muda kubadilisha mamiliion ya majambazi kila sehemu unayokwenda
  binafis umekuwa ukitangaza kutengeneza manjia ya hewani kama wanavyoyaita
  wanyonyaji lakini ni vyema nikukumbushe mzee na kama kweli dhamira yako
  ni kusaidia hizi bara bara ..naomba mutengeneze haka kanjia kutokea riverside
  kwenda ubungo traffic light

  najua ulikuwa aupo lakini hii njia nzima imetengenezwa cha ajabu wakandarasi wakaishia
  riverside aijulikani kiasi kilichobaki hela yake imekwenda wapi utakuwa mwepesi wa huruma
  kutujulisha kilichoendelea na nani alihusika kwenye ule ujenzi wakatengeneza kuanzia riverside
  mpaka buguruni na kuacha hiki kipande

  kuna uchafu mwingi sana sana hapo na naamini chambo atakuwa na msaada kwako kueleza
  huu utapeli wa hiki kipande lakini wakati mkipanga kutuletea tireni ya angani na nchi kavu
  naomba juhudi zako zianze sasa kutengeneza hiki kipande naamini mwenyezi mungu mjaza
  rehema ndogo ndogo na kubwa fupi na refu nyepesi na ngumu akuangazie upite huko na kuacha kupita kwenye lami za wakosefu walioingia jehanum kabla ya kufa
   
 2. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  Mwakyembe yupo wizara ya Uchukuzi Malalamiko yako muandikie Magufuli
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,688
  Trophy Points: 280
  kaka Mwakyembe alikua huko kitambo
   
Loading...