Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jahazi limezama huko tanga kafa mtoto na watu saba waofiwa kufa maji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kamuzu, Jul 25, 2012.

 1. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Wanajamnvi nimesikia Breaking news kuwa jahazi limezama hapo Nungwi na huenda maisha ya watu yamepotea tena,
  mwenye habari kamili naomba aje nazo.
   
 2. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,164
  Likes Received: 332
  Trophy Points: 180
  Eh mungu tuepushe na mabalaha aya waja wako, jamani mbona kuzaliwa bongo sasa inaelekea kuwa soo??
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,107
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Juu umesema wanahofiwa kufa kwenye thread wamejeruhiwa....kipi ni kipi...
   
 4. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,949
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  sos ni redio one
   
 5. s

  stambuli Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mungu Tunusuru ,ilikuwa bora kuzuiwa usafiri yako wa lazima mpaka upepo upungue,hali ya hewa wapo wapi !.
   
 6. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,164
  Likes Received: 332
  Trophy Points: 180
  bongo hii, natumai mshikaji wala hajadanganya, isijekuwa ili kuamini wewe lazima uguse
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,873
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Sisi hatupo serious Period.
  Kama mabomu yalilipuka Mbagala, baada ya miezi michache yakalipuka tena Gongo la Mboto na watu bado tumo tuu tunawakenulia waliopewa mamlaka.
   
 8. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 3,940
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  Haueleweki mtoa hoja?wangapi wamekufa,wangapi wanahofiwa kufa na wangapi wamejeruhiwa?
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 12,918
  Likes Received: 1,234
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu, sijawahi kusikia mtu kajeruhiwa kwa kuzama maji, pengine mimi mshamba!!!!
   
 10. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,949
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  na wewe tafuta sos nyingine kama una mtu tanga muhulize
   
 11. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,134
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  mkuu hii lugha gani unaandika?kibondei au?
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,061
  Likes Received: 3,087
  Trophy Points: 280
  Kweli kuzaliwa bongo imekuwa ni mkosi sasa.
   
 13. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  jamani wale wote waliounga mkono 100% kwa 100% hoja ya kupitisha ununuzi wa vitu vilivyotumika aka vitu chavu au scrapper, skilepa waende kituo cha polisi kujibu mashtaka ya mauaji kwa kuruhusu ununuzi wa meli mbovu nchini. Nchi hii inaendesha umafia kwa kunyonga watu mchana kweupe hatuwezi kuvumilia tena kikwete jiuzulu mara moja umeshindwa kazi ., huwezi kuendela kuangalia damu za watu zikiteketea bila hatia yoyote
   
 14. d

  de concious one Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh! kweli inatsha sana watnzania tumemkosea nin mungu kila siku majanga!
   
Loading...