Mark mwandosya unalalamika.......!! Wengine wafanyeje.........? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mark mwandosya unalalamika.......!! Wengine wafanyeje.........?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Jul 13, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  mjumbe wa halmashauli kuu ya taifa NEC kupitia CCM. ametoa kitabu kinachoelezea uozo, na mizengwe aliyofanyiwa yeye kuanzia ngazi ya tawi, kata hadi wilaya, ili asichaguliwe kuwa mjumbe wa NEC akiwakilisha mkoa wa Mbeya. Namsifu kwa kutuhabarisha wengine kupitia kitabu chake hali ya kuwa yeye bado ni mjumbe wa NEC.(umethubutu) hivi ni sahihi kuandika nakujivua nguo bila kuchukua hatua..............?
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Wee vipi? si ndio maana kaandika kitabu, usome ujue na kuchukua hatua WEWE!
   
 3. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  labda hufahamu uzito wa kuwa mjumbe wa NEC, hiyo nafasi alonayo ni ya MAAMUZI Na UTENDAJI,anatoa kitabu ili auze.? kama kashindwa yeye kwa ngazi hiyo anasubiri nini huko......... CCM
   
 4. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Hivi huyu ni yule aliyepewa sumu na Nape??au na Rostam??mana haya makundi yananichanganyaga sana kuna yule mwingine wa Mbeya nae alikuwa anazunguka makanisani kumchafua baba Riz wani ,nasikia kapewa Ufull minister kakaa kimya kabisa,nae alipewa sumu na Mamvi au Mtemi?
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Anataka ccm wamzibe mdomo na mabilioni kama kawaida yao, ndo maana wanatoa shutuma nusunusu
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Akachukue hatua kwenye maisha ya mtu mwingine na yake na nduguze nani atamsaidia?
   
 7. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,747
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  kama anaipenda tz basi aachie uwaziri usio na wizara

  anakula na kunya bure tu kazi hana
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Ni mwanzo mzuri, tusubiri na kitabu kingine kutoka kwa؛‎ Hans Kitine, Jen. Mboma na Philip Mangula
   
 9. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  kwa nini asitoke naona analalama tu
   
 10. M

  Mzee wa Usafi JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  mwenye dondoo za hicho kitabu atupatie sie tulioko Tanganyika itachukuwa karne kukipata...Dibaji yake iwekeni humu jamvini basi!!!!!!
   
 11. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Hivi viongozi wetu ni watu wa namna gani? Chama hiki ndiyo chama alikuwa anakisifia na kwa hiari yake ameingia mwenyewe. Ssa kama unaona kuna udhaifu na ni mjumbe kwenye vikao vya juu kabisa vya chama kwa nini asiongelee huko???
  kama anaona hakikidhi haja si atoke tu AVUE GAMBA AVAE GWANDA au ni kwa kuwa zile ndoto za urais zimeyeyuka??? Ama kweli ile hadithi ya sungura na zabibu ni valid hadi leo.
   
Loading...