Siku ya Mashujaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku ya Mashujaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Robbie, Jul 25, 2012.

 1. R

  Robbie New Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauliza eti kuna mtu yoyote anayejua sababu za kuvalishwa suti mashujaa walioudhuria sherehe yao wakati mashujaa waliopo Mara wamecho na mavazi yao!?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,056
  Trophy Points: 280
  Tanzania kuna shujaa gani?
  Akitokea mtu wa kujitoa muhanga hata kumpiga kwa jiwe tu JEETU PATEL na mafisadi wengine nitaamini kweli tuna mashujaa.
  Sisi kila siku tuko busy kuwapiga mawe wezi wa kuku, wale walioingiza Taifa kwenye mgao wa milele wa umeme tunawaacha waendelee kutesa wakati sisi tukiteseka
   
 3. R

  Robbie New Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata hivyo hao wazee wetu mashujaa wamesahaulika yani hadi siku kama ya leo ndo wanakumbukwa!
   
Loading...