Mshtakiwa wa epa na mwenzake jela miaka 18 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshtakiwa wa epa na mwenzake jela miaka 18

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by THE CHOICE, Jul 25, 2012.

 1. T

  THE CHOICE Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]
  [​IMG]

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka 18 jela Kada wa CCM, Rajabu Maranda na binamu yake, Farijala Hussein katika kesi ya tuhuma za kuchota Sh2.2 bilioni za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Mahakimu wawili
   
 2. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 513
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Nilitegemea mleta habari umesoma vizuri kwenye source ya habari yako.
  "[FONT=&amp]Hakimu Projestus Kahyoza na mwenzake Catherine Revocate iliwatia hatiani washtakiwa katika makosa sita kati ya saba yaliyokuwa yakiwakabili, na kuwahukumu kifungo cha miaka mitatu kwa kila kosa. Hata hivyo, wakati wakisoma hukumu hiyo, mahakimu hao walisema badala ya washtakiwa kutumikia kifungo cha miaka 18, hukumu yao itaenda sambamba hivyo watatumikia kifungo cha miaka mitatu jela"[/FONT]

  Kwa maelezo haya yaliyoko kwenye source uliyotupatia nakuomba ubadili heading yako

  Source ni Blog ya THE SOURCE na wewe mwenyewe ni THE SOORCE maana yake haupo makini na taarifa zako au mimi sijakuelewa!
   
 3. H

  Hon.MP Senior Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku za mbeleni wahusika wakuu watasogezwa mbele ya haki na hata kurejea hizi hukumu. Mahakimu na majaji wawe macho sana katika kesi za skendo za kitaifa na kimataifa
   
 4. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  mie Kama sielewielewi vile kesi ya EPA ipo hii tu?
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  miaka mi 3 jela na c kumi nane
   
Loading...