Ukiona vitu vinapewa majina mengi ujue vina umuhimu wa tofaut katika jamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiona vitu vinapewa majina mengi ujue vina umuhimu wa tofaut katika jamii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tabibumtaratibu, Jul 25, 2012.

 1. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Embu angalia vitu hivi
  >PESA=chapaa,mkwanja,pepa,mawe,doo,mpunga,mapene.....N.K
  >MWANAMKE=manz,demu,mchuchu,kiburudisho,king'amuz,mtoto,mamdii.....
  >BANGI=kijit,ganja,msuba,mosh,kete,mjani.....
  >RUSHWA=kitu kidogo,chai,hongo,takrima....
  Na nyingine nying
  hapo ndo naamin kwel umuhimu wa kitu upo kwenye kitu chenyewe
   
 2. G

  GENDAEKA Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Neno rushwa linapunguzwa makali kwa kupewa majina rahisi,mf uzinifu ni ngono pia tendo la ndoa ni ngono
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Rushwa=> "maji" au "maji ya kunywa"
   
 4. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  ngono ni nn hasa?
   
 5. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  ila itakua n maj machafu na ukinywa yanamadhara sana
   
 6. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 577
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  rupia,shekeli,mawe,ankara=Cash.Vuvu,kidumu,mgebuka,ngoima=Ssta du
   
 7. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,187
  Likes Received: 1,909
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kujua RUSHWA mahospitalini.. Utamsikia Dokta anakuambia Hajisikii vizuri leo kufanya Kazi A.K.A hayuko kwenye mood.

  Ndo maneno yao hayo ya kuomba Rushwa.
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mbona haujasema mwanaume anaitwaje!?
  buzi, ATM etc
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hata nywele kwenye mwili wa biaadamu kina majina mengi na pia kina umuhimi kama vile:
  • Nywele za kichwani.
  • Nyusi
  • Ndevu.
  • Mzuzu
  • Mustachi
  • Kope
  • Masharubu na vingine sipendi kuendelea malizia mwenyewe kwakua sasa hivi watoto bado hawajalala!
   
 10. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  nywele za ukubwan
   
 11. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  kipusa
   
 12. G

  GENDAEKA Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa ujumla Wanaume wanaitwa Wawezeshaji
   
 13. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  wawezeshaj wanaohitaj kuwezeshwa na wanawake>kwa v2 baadh xana
   
 14. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  Makalio,tuzu,bomole chee,wo wo wo,ngongingo,mkia,kinyesi,mgongo,donati,masabuli, n.k!na ukitaka kujua umuhimu wake ****** kalia kichwa!
   
 15. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  naunga mikono hoja
   
 16. EARPHONE

  EARPHONE JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Halafu ukute 'ke' anayajulia sasa...
   
 17. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  unaweza uka.......
   
 18. EARPHONE

  EARPHONE JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kutoka 'uvunguni' mwa nafsi yangu nawakubali sana 'ke' wa kiafrika kuliko hata wazungu
   
 19. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #19
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  wezere
   
 20. W

  Wajad JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Pombe ya gongo = chang'aa, machozi ya simba, supu ya mawe, mfupa, majisafi, cheupedawa, moshi, kingwendu, mwenyewekatoka, tunachajisimuhapa.
   
Loading...