ndege ya Precision yapata ajali Kigoma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ndege ya Precision yapata ajali Kigoma.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amiliki, Jul 24, 2012.

 1. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa mujibu wa habari zilizofika punde chumba cha habari TBC1, ndege hiyo imepasuka matairi matatu, mawili kulia, nyuma na moja kushoto, nyuma wakati inatua ikitokea Mwanza.
   
 2. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mungu atuipushie mbali haya matukio! du inatisha , tutaogopa kusafiri!
   
 3. N

  Njaa Mbaya JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 667
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Aisee mbona hatari sana hii
   
 4. J

  J_Calm Senior Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni noma, mala Dar express na Simba mtoto mala Precision air!
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ndege tena Kigoma tena? Juzi ndege imepasuka kioo hapo nyuma ilianguka Kigoma na nyuma zaidi ilianguka Mwanza. Mungu bado anaendelea kuwapenda Watanzania. Tumshukuru Mungu kwa hilo.
   
 6. mito

  mito JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,624
  Likes Received: 2,012
  Trophy Points: 280
  vipi hali za abiria?
   
 7. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  polini wausika wote
   
 8. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,825
  Likes Received: 924
  Trophy Points: 280
  KIUKWELI USAFIRI WA NDEGE ZA TANZANIA MUNGU tu ndio anatusaidia kufika salama..usalama ni mdogo sana ipo siku Mungu aepushe mbali zitaanza kuleta shida kama hizo meli za hapo Zanzibar...
   
 9. mito

  mito JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,624
  Likes Received: 2,012
  Trophy Points: 280
  Thanks God, abiria wote wamepona
  Source: Clouds FM
   
 10. E

  Eddie JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 516
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwanakijiji vipi hii....
   
 11. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,917
  Likes Received: 1,806
  Trophy Points: 280
  Hao PRECISION nao wameanza kujisahau sidhani kama wana regular safety check ya ndege zao ipo siku watatumwaga pamoja na kutucharge nauli kubwa/delay na route ndeeefu (mfano unaenda ENTEBBE from DAR utazungushwa karibu miji yoote ya Afrika Mashariki kabla ya kufika ENTEBBE) PLEASE ZINGATIENI USALAMa au mnavimba kichwa kwa sababu mpo peke yenu au mnafikri hatujui mnazifanyia hujuma FLY 540 na AIR TANZANIA? ili mpate biashara na mpandishe bei mnavyotaka, hivi kuna Bodi/taasisi inayoregulate bei ya nauli za Ndege TZ/EA?
   
 12. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Jamani mi naogopa sana, nimebook kuipanda sometime this weekend. Mungu naomba utuepushe
   
 13. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  Utasikia taarifa toka Lumumba kuwa Chadema wanahusika na ajali hizi, magamba bana!!!
   
 14. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nasikia Lukuvi ameamrisha ikimbiziwe mahakamani ili kutuziba midomo isiongelewe nje ya mahakama!
   
 15. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Jk akishindwa kupageuza Dubai atasema jamani si mnaona Kigoma panavyopatisha ndege ajali? Maana ilianza ya ATCL na sasa Precision bado za serikali.
   
 16. S

  Sessy Senior Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizi ndege zetu za africa ni mitumba tu mungu ndie anaesaidia kwa kweli...
   
 17. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Ni moja ni makampuni hovyo tz. Ratiba hawafuati kabisa hawa jamaa na inaonekana hata service hawafanyi
   
 18. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Taifa limeshindwa kuwa na ndege yake ya uhakika ila mtu binafsi ameweza halafu wanafiki wakataa mabadiliko yasitokee? we need a new leader with relevant vision and mission for this country
   
 19. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Ajali ajali ajali,ahh tumechoka acheni tusahau ya seagull kwanza.
   
 20. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,790
  Likes Received: 6,303
  Trophy Points: 280
  Haya mambo haya ya kutumia mitumba?? meli zipo zinazama na kuua wananchi kila baada ya miezi kadhaa. Sasa naona taratibu, but surely, tunahamia kwenye usafiri wa anga
   
Loading...