Inamaana polisi wa tz ni zaidi ya sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inamaana polisi wa tz ni zaidi ya sheria

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ngomicom, Jul 25, 2012.

 1. n

  ngomicom Senior Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Leo nilikuwa kwenye gari (Public Dala2) nikitokea Mlndz kuja Dar, jamaa walipata watu nyomi kwenye mutuka yao, mara jamma aliyekuwa anakuja toka tulikokuwa tunaenda akampa ishara Suka wetu kuwa mbele kuna wale jamaa wa sare nyeupe (Plc Trfc). Suka akamwambia konda ama awashushe watu au aandae elfu tatu na kadi ya gari kuwapa jamaa, konda akasema atawapa wawili tu (2000). Nikabaki midomo haifungi nikijiuliza inamaana sheria kwao si kitu ila askari ndo wanawaogopa???????????, kwanini??:A S-baby:
   
 2. A

  Andrew nerei Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daa hapa sasa hata cjui niaje!
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wee vp? umekuja tz leo nini?
   
 4. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nashangaa..huyu jamaa kasahau yaliyomkuta Jerry Murro!
   
Loading...