Kama vichwa vyao si kufuga nywele,je wametufisha wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama vichwa vyao si kufuga nywele,je wametufisha wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mutta, Jul 25, 2012.

 1. Mutta

  Mutta Senior Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana jf poleni na shughuli za kujenga Taifa.Mimi binafsi najaribu kuangalia rasilimali za nchi tulizonazo hapa nchini. Tunaishia kukaa kwenye STOOL ya DHAHABU huku tukiwa SAIDIA baba,SAIDIA maskini,tukitegemea misaada kwa 70%.Je wao wenye vya kufikiri wamefanya nini?
   
Loading...