MBARALI HALMASHAURI KWA CHAFUKA NI KUFUATIA SAKATA LA UFISADI WA ZAIDI YA SHS 2b

Mbugi

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,488
257
Kwa taarifa za hivi karibuni ni kwamba halmshauri ya wilaya mbalali mambo si mambo tena kwani lile diri la kutumia zaidi ya shs bilion mbili za miradi kwa kugharimia posho limegeuka kuwa dirisha, baada ya PCCB na POLISI kuvamia offisi za halmashauri leo mida ya saa tano hivi na kuwachukua watendaji mabalimbali tayari kwa hatua za kisheria. ktk harakati zangu nilipata bahati ya kuongea na mwenyekiti wa halmashauri hiyo ambaye alijibu moja kwa moja kuwa ni kweli ubadhilifu huo umefanywa, lakini yote ni kutokana na mweka hazina kutokuwa na sifa na kwa upande wa mwingine serikali kutokudhingatia kwani ameharibu sehemu nyingi, na mbaya zaidi amekuwa baada ya kubanwa akitumia mpaka njia ya kuwahonga madiwani ili hatua hizo zisichukuliwe.
 
Kama hana hela atafungwa, kama anazo, mtagonga mwamba, na kuishia kushangaa. "Mtu anatafuta hela ili zimsaidie"
 
PCCB my a...ss! Hawana lolote mbwa hawa!! Tutaona,labda kama maslahi ya mkubwa au chama twawala yamekuwa threatened,otherwise..
 
Back
Top Bottom