Majambazi wavamia kituo cha mafuta Bonjour (Mlimani City) na kuwalewesha walinzi kisha kuiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi wavamia kituo cha mafuta Bonjour (Mlimani City) na kuwalewesha walinzi kisha kuiba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kurunzi, Aug 3, 2012.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Majambazi ya mevamia kituo cha Total Mlimani city na kuwalewesha walizi na kuiba vitu ambavyo haijajulikana.

  Walinzi walileweshwa madawa ya kulevya na hali zao zipo hoi; wamekimbizwa hospital Mwananyamala.

  Inaonekana wajamaa walivunja mlango kwa kutoboa kwa gas na kuingia ndani.

  Source: Radio one Stereo
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Huo ujambazi umefanyika usiku au asubuhi.
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Duh, ndo ujue kuna umuhimu wa smart security system!! Sijui kama hizi National Identity Card wanachukua fingerprint za watu au ni kama kawaida, watu wamekwiba pesa ya kukamilisha mradi, Fingerprint tunasubiri 2030?
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Na pale showroom ya magari hawakuvunja kweli?manake ile sehemu imezungushiwa vioo tu!!
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wameleweshwa vp unga??!! Mi nahisi wako involved waisaidie polisi
   
Loading...