ajinyonga baada ya mwanae kufariki kwa kukosa huduma hospitalini!

Gwaks makono

Senior Member
Aug 27, 2011
110
16
mwanamke mmoja amejinyonga jiran na ofisi ya mganga wa hospitali ya wilaya ya geita baada ya mwanae kufikishwa hospitali na kushindwa kupewa huduma stahik na hvo kupelekea mwanae kufariki-source rfa matukio
 
Back
Top Bottom