Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 764
watanzania wanaomiliki magari na watumiaji wa wafuta kwa ujumla mnatakiwa kununua mafuta ya kutosha maana kuna uwezekano yakapotea kwa muda usiojulikana....mjulishe na mwenzako.
Wiki hii au wiki ijayo?maana mimi nimebakiza tank moja ili nikayajaze yote mawili
watanzania wanaomiliki magari na watumiaji wa wafuta kwa ujumla mnatakiwa kununua mafuta ya kutosha maana kuna uwezekano yakapotea kwa muda usiojulikana....mjulishe na mwenzako.
nini kitapelekea kupotea kwa mafuta!
au kinywaji tayari kipo kichwani??!!!