Je sisi watu wa kuhamahama tutapata vitambulisho vya utaifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je sisi watu wa kuhamahama tutapata vitambulisho vya utaifa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbori, Aug 2, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,736
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Poleni na majukumu ndugu zangu. Naomba kujua, je sisi watu tusiokaa mahali pamoja muda mrefu (kama wanafunzi, wafanyabiashara wa kimataifa n.k) tutawezaje kupata vitambulisho vya utaifa. Kwa mfano, leo nipo Iringa (ugenini), mwezi ujao nitakuwa (nyumbani) DSM ambako taarifa za wakazi zimeshachukuliwa, baadaye nitakwenda Arusha (ugenini),........
   
Loading...