Tujihadhali na huu wizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujihadhali na huu wizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SYENDEKE, Jul 29, 2012.

 1. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari za majukumu jamani kuna wizi wa kwenye mtandaoni tuwe makini tusije kumbwa na kudondokea kwenye huo mkenge uko hivi


  Inatokea unakuwa na urafiki na mtu wa kawaida mnakuwa mnachati naongelea international friends baada ya kuchati naye sana anakueleza shida zake kuwa yeye anaishi uhamishoni mfano Senegal kuwa huko alipelekwa na Umoja wa Mataifa kitengo cha Wakimbizi kuwa wamehifadhli kutokana na vita iliyo tokea huko kwao mfano Liberia kipindi cha Charles Tayor wakati wa vita kali, au SUDANI, DRC

  Kutokana na hiyo vita yeye ni muanga mkubwa coz baba na familia nzima walilipuliwa nayeye akawa ndo mtu pekee aliye salimika ndo akafanikiwa kwenda huko uhamishoni.
  Baada ya hapo anakwambia baba yake au mama yake alikuwa Director katika kampuni Fulani mfano kampuni za mafuta sudani na anakwambia huyo mzazi wake aliweka hela Fulani kwenye bank moja kwa jina la lake NEXT OF KIN kwa kuwa yeye hayupo huko na sehemu alipo hawezi kutransfer that kind of money kwa kuwa yeye ni mkimbizi na sheria za Wakimbiza zinawabana kufanya.
  Sasa anakwambia kuna pastor yuko pale ndo huwa anawasaidia kupata huduma za internet na mambo mengine Baada ya hapo anakuomba uweze kumsaidia aweze kutransfer that kind of money coz amejitahidi kutransfer kwenda inchi aliko imeshindikana na ameshauliwa anatafute mtu kutoka nchi nyingine aweze kutransfer huko na akakuomba uwe mdhamini wa hiyo kazi
  Na anakueleza kwa jinsi anavyo pata tabu huko uhamishoni na anatamani kuendelea na shule cozi aliacha shule na sasa haendelei tena . Na anakutumia Death certificate ya wazazi, bank ambako hizo hela zipo na Mkurugenzi wa bank ambako hela hizo za wazazi wake zimehifadhiwa ziko na mtu anaewasiliana naye kuhusu hiyo transaction. Anafanya kila juhudi anakuunganisha na huyo mkurugenzi .
  SASA HAPO NDO WIZI UNAANZA WATATAKA PERSONAL DETAILS NA BANK DETAILS PAMOJA SWIFT CODE FOR INTERNATIONAL TRANSACTION UKIDHUBUTU KUWAPA TU NDO UMEUMIA. Wanao ongoza kwa huo wizi ni watu kutoka Nigeria na wako smart sana katika kazi zao full details katika kukushawishi kama hujui kuhusu international transaction lazima uingie mkenge. For more details nitafute ndo hayo to gud luck
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Babu washakupiga nini...mbona hi style ya zamani sana
   
 3. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Thanx 4 advice mkuu.
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  umeona enheee...
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  so ease drag them to spam
   
 6. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ukiwa na tamaa (NGONO/PESA) halafu limbukeni, lazima uliwe. Hakuna senti 1 ya bure duniani.
  Hakuna haja ya kujìhadhari na 'huu wizi' sababu kuna style kibao tu. ISHI KWA KANUNI. USIISHI KWA MATUKIO.
   
 7. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hamna hawajanipiga niko makini
   
 8. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ofcozi ukiwa na tamaa unakula mkenge kwa jinsi walivyo na wale ndugu zangu wakupenda vya bure
   
 9. H

  Hemed Maronda Senior Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii! Watanzania ni watu wa kupenda vya bwererebwerere tu hata ukiwaambia kuna bomu limeonekana sehemu badala ya kukimbia wao wanakimbilia!
   
 10. n

  ngwenda ngulya Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Mwenye kuelewa achukue tahadhari
   
 11. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Yupo mhanga mmoja pale SUA, Morogoro- simtaji jina-pamoja na usomi wake aliingizwa mkenge hivyo hivyo- 2009. Millioni 23 ziliyeyuka hivi hivi. Ogopa matapeli.
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ukipenda shortcut katika maisha, mwisho wake ndio huishia kutapeliwa.
   
 13. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Hakuna kuchat wanakulenga mojakwa moja kama una tama\ ya hela za bure ndio unaingia mkenge.
  Mimi alinitumia mail mdada anaitwa mercy anataka nimtumie ac aniwekee hizo hela nikamwambia mimi naitwa riz 1 aingie google atanijua kwa hiyo anitumie ac yake yeye nimpige na dola 25 elfu zimpooze machungu ya kufiwa na wazazi wake kwani alionekana tena?
   
 14. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kichwat well wel welsaid mkuu .hakuna hata sent mmoja 1 ya bure duniani hii inaukweli asilimia 1000%
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Pole sana!
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huu mbona wizi (utapeli) wa muda mrefu??
   
 17. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mm nilipata demu akanitumia picha maneno matamu ya mapz then akaniambia dingi yake alikuwa Md bank fulani Ethiopia na amekufa ktk machafuko na yy ndie mrith na yuko senegal kituo cha yatima na akaniunga na mchungaji akataka nimtumia 2000 dola aje Tz tuweze kutoa pesa.NILIMTUKANA KIMAKONDE hakurudi tena
   
 18. A

  ADK JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,167
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Haya mwenye macho haambiwi tazama
  tumeipokea tahadhari hiyo pamoja ni ya kizamani tusikukatishe tamaa
  ili ukapata ukipata ya kisasa utujuze tena
   
Loading...