Jamani huu sasa ni wizi

ADK

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
2,191
804
Wakuu habari za pilika za mchana kutwa . Leo mchana nimepigiwa simu kwa no. Ya zain nilipoipokea sauti ni ya kike ikinishawishi ninunue miziki kwa akupigiae,
nikakata sim cha ajabu ikaja meseji ikinitaarifu kuwa nimekatwa sh 400 kwa ajili ya mziki walinichagulia bila idhini yangu.
Sasa wadau nifanyeje ili nijitoe kwenye huduma hii ambayo siitaki
 
Kujitoa kienyeji haiwwezekani si unajua wameingia Contract

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Jamani kinachonisikitisha watakata hizo pesa kila mwezi kwa wenye kujua jinsi ya kujitoa munisaidie
 
Oh!pole sana.Nilipigiwa cmu jana kucheki anayepiga,nikaona Zain tune bt uzuri nlikuwa kwenye chombo cha usafiri nikapotezea.kumbe ndo hayo!Andika ONDOA tuma ktk code namba ya miito,it may help.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom