Wape motisha wafanyakazi wako kwa kutoa vitendea kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wape motisha wafanyakazi wako kwa kutoa vitendea kazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by issa laino, Aug 3, 2012.

 1. i

  issa laino New Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kunakituo kimoja cha runinga kinanishangaza sana hasa kwa wafanyakazi wake kutokua na vitendea kazi nikimanisha kuazia ofisi na vitendea kazi vingine kama kamera za kisasa na mambo mengine,hebu muhusika wasaidie hawa jamaa wanateseka sana pamoja na kujituma na kazi yao kuonekana hebu wape motisha ya vitendea kazi ukiaza na ofisi kubwa ya kisasa iga hata kwa vituo vingine kama,.........
   
Loading...