Update ya afya ya Dr Ulimboka

OLEWAO

Member
Jan 27, 2012
89
78
Wana JF,
Nilipata habari ya maendeleo ya afya ya Dr Ulimboka kupitia gazeti la mwanahalisi toleo la mwisho la wiki iliyopita (kabla halijafungiwa) kuwa anaendela vizuri na yuko karibu kurejea nyumbani kuja kuanika kila kitu kuhusiana na uovu aliotendewa na serikali ya kikwete.
Kwakuwa serikali ya JK ''imetufunga plasta midomoni'' kwa kufungia chanzo chetu cha kuaminika cha habari za uchunguzi, naomba mwenye update ya afya ya ulimboka atujuze.

Naomba kuwasilisha.
 
Amani inatoweka pole pole TZ, yank hata wakitaka kuku nanihiliu pia ukubali laa sivyo unaenda kutuswa mwisho unatupwa msituni,Mungu atustiri....
 
Hili swala si liko mahakamani?! You know what i mean.
 
Bora isipatikane taarifa, atue tu kama mvua wasije wakamlimboka kabla hajaonana na wanahabari.
Kwanza wanoko kibao humu JF
 
Yaaah: Ni kosa la jinai kuongelea kesi iliyoko mahakamani, nje ya mahakama!!!!!!!! isipokuwa kwa Mkuu wa kaya tu!!!!!
 
Mungu amjalie afya njema si lazima arudi nchini kwani kikwete tiss policcm na serikali ya ccm wamepanga kumuua
 
Wana JF,
Nilipata habari ya maendeleo ya afya ya Dr Ulimboka kupitia gazeti la mwanahalisi toleo la mwisho la wiki iliyopita (kabla halijafungiwa) kuwa anaendela vizuri na yuko karibu kurejea nyumbani kuja kuanika kila kitu kuhusiana na uovu aliotendewa na serikali ya kikwete.
Kwakuwa serikali ya JK ''imetufunga plasta midomoni'' kwa kufungia chanzo chetu cha kuaminika cha habari za uchunguzi, naomba mwenye update ya afya ya ulimboka atujuze.

Naomba kuwasilisha.
wewe ni mpuuzi sana, unachouliza ni nini na umesema nini! unatupima au umetumwa, ndio styl ya kuchokonoa hiyo? anakuja nchini ili wamuone, wammalize, kama ni ukweli hawezi kurecord na kuleta CD TU/ wewe unalwako. fyooo! nyoo, hembu muache dokta
 
jf ni zaidi ya mwanahalisi. habari zote tutazipata hapa katika kipindi hiki cha majonzi. Mia
 
Back
Top Bottom