Wadau naomba kuuliza naamini wapo wanaojua zaidi humu jamvini, sasa hivi uki renew road licence unakuta element ya fire umelipa kwenye road licence je ina maana ukiwa umelipia gari lako insuarance...
Wana JF,
si mulisikia kuwa CDM walikuwa wafanye mkutano hapa mjini mrogoro jana mchana?! Si mulisikia kuwa polisi/ serikali ilikataa mkutano usifanyike kwa kisingizio kuwa hapakuwa na polisi wa...
Gazeti la Mfanyakazi lilikuwa ni gazeti lililokuwa mashuhuri sana kabla ya magazeti binafsi hayajaanza, pamoja na umiliki wa umma na serikali lakini lilijitahidi kutoa habari makini na za utetezi...
Aiiiiii m nshachoka sasa kila sehemu waanaiba wansimamishwa
hata mara moja usikii mtu kalambwa miaka 10/25 kwa wiizi
sasa mwishoni na rais nae atasimamishwa sijui tunaelekea wapi
mh raisi...
Mwakajana 2011 taifa hili lilifanya maazimisho yakusheherekea miaka 50 ya Uhuru!Wizara mbalimbali zilishiriki ikiwemo Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii kitengo cha Maafa.Watumishi mbalimbali...
Breaking news kutoka ITV hivi punde zinasema, polisi, imekamata wahamiaji wengine 39 wakiwa wanasafirishwa na Canter maeneo ya Himo.
Wakati wakipelekwa kituo cha polisi himo, dereva wa lori...
Teodorin Obiang. A French judge wants him arrested on money laundering charges. FILE | AFRICA REVIEW |
By BBCPosted Saturday, August 4 2012 at 13:09
'Arrest warrant' for E. Guinea leader's...
Hili halivumiliki. Ruangwa wizi et tangazo la kazi libandikwe tar 24 wakati mwisho tar 25? Na iweje tangazo liwekwe mjini tu ndo waliko wenu!? Et waalim hakuna kuomba; form zna eneo la mwajiriwa...
HABARI ZA SASA IVI KABISA
Mheshimiwa raisi wa Jamuhuri wa Mungano wa Tanganyika na Zanzibar -JK.....Yupo Karatu saa hii anaelekea monduli kutoa ng'ombe kwa wamasai wale waliokufa kwa ajili ya...
Nimefatilia mijadala mingi na kusoma magazeti pamoja na Blogs za watu mbali mbali hapa Tanzania ,nilichokigunduwa wengi tumekuwa tunawasamini watu kutokana na uwezo au hali waliyo nayo ikiwa ni...
, Leo nimepokea email hii asubuhi toka kwa huyo mwenye picha hapo chini'nashangaa huu utapeli ni wakizamani sana hivi hawa matapeli wameshindwa kuja na mbinu mpya ?
Dear:
Good day and thank...
Tangu nimalize kadiploma kangu pale chou cha diplomasia huwa najikuta nikifuatilia hadhi na matanuzi ya wakuu wa nchi yetu. Jambo moja linalonipa swali ni kuhusu hawa wazito wawili ambao nina...
Sat, Aug 4th, 2012
Headlines / Tanzania |
Fifty-four Tanzanian nationals have been arrested by the Zambian Immigration Department for illegally mining gold in Kabwe, north of Lusaka.
The...
Kutokana na taarifa za sintofahamu zimesababisha nakala zote za gazeti la raia mwema kutoweka katika hali ya kutatanisha kutokana na kuandika habari zinazomuhusu mmoja wa ndugu wa Mbunge wa viti...
Kwanini SSRA ikubali kuwalipa mafao wafanyakazi wa GGM na sio wafanyakazi wote ambao wako kwenye mifuko ya jamii?
>>>>>
Kumb. Na. CB.75/396/VOL.II/16 DATE: 30/07/ 2012
Meneja...
Mimi ni mmoja wa watu wengi wanaopinga mgomo 'feki' wa walimu uliofanyika wiki hii.naupinga kwa sababu naamini walimu na serikali yetu ni maswahiba wa siku nyingi na hakuna ushahidi kuwa uswahiba...
Toxicity
Po-210 is highly radioactive and chemically toxic element. Direct damage occurs from energy absorption into tissues from alpha particles. As an alpha-emitter Po-210 represents a...
Pomoja na Mambo mengi kujitokeza UWT lakini inaonyesha kuwa Sophia Simba atakuwa Mshindi tu !!!!!!!!!!!!
Uenyekiti wa UWT: Ni Vita Kati ya Ukweli na Ubatili! Si kweli kwamba sipendwi...
Hi, I am new to jamii forums. I thought it is a great place to share what has been disturbing me for long. Whether it is only in Tanzania or else where in the world, Tanzania has this annoying...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.