Malipo ya fire kupitia tra

mang'ang'a

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
828
379
Wadau naomba kuuliza naamini wapo wanaojua zaidi humu jamvini, sasa hivi uki renew road licence unakuta element ya fire umelipa kwenye road licence je ina maana ukiwa umelipia gari lako insuarance
third part fire and theft au comprehensive insurance hazina maana tena????
 
Mimi hainingii akilini Hawa fire yani unanunua stiker kwa pesa nyingi hivyo nilitegemea wamekuja na sera ya kupunguza majanga ya moto kumbe wao shida Yao ni makusanyo.hii haingii akilini nilitegemea wangekuwa wanauza extingusher kwa ajili ya kuzimia moto matokeo yake kumbe wao wanataka pesa kwa kutoa hiyo stiker hapa hawajapunguza tatizo ila wameongezea wananchi gharama za maisha fire inabidi waliangalie hili upya
 
hawa watu wako kimaslai zaidi,hakuna logic kabisa.kama nimekata insurance mtungi wazimamoto niwann?yaani nikate insurance alafu nianze kuangaika na gari ikiwaka moto????huna mafunzo ya kuzima moto obvious utahatrisha maisha yako zaidi. ujanjaujanja on progress,
 
hii kali..kwa hiyo kulipa insurance ndio mtu asifanye jitihada yoyote kuzima moto? some wabongo are full of excuses.
 
Back
Top Bottom