Uteuzi makarani sensa ruangwa wizimtupu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uteuzi makarani sensa ruangwa wizimtupu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jaclive mwera, Aug 5, 2012.

 1. j

  jaclive mwera New Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili halivumiliki. Ruangwa wizi et tangazo la kazi libandikwe tar 24 wakati mwisho tar 25? Na iweje tangazo liwekwe mjini tu ndo waliko wenu!? Et waalim hakuna kuomba; form zna eneo la mwajiriwa au "TUMEWAPENDELEA MTUJUE?" kama UCHAGUZI 2010 ipo siku
   
Loading...