Kikao cha Dharura JK 'mawaziri na makatibu wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikao cha Dharura JK 'mawaziri na makatibu wakuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fisi 2, Aug 2, 2012.

 1. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  Jk amewaita mawaziri wote na makatibu wakuu Dodoma katika kinachoitwa kuokoa jahazi. Je tutafika kwa stahili hii ya zimamoto?
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Eeeeeh!
   
 3. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kawaitia nini Fisi?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Tiririkaaaaa fisi.
   
 5. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  fisi2 hebu jaza nyama basi anakutana nao kwenye 88 Nzuguni au St Gasper au Ikulu Chamwino ni nini hasa hizo tuhuma za Nishati na Madini au wanataka kutuwekea Mgawo wa Umeme (Tanesco) fafanua kinachoendelea
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Amemaliza kugawa ng'ombe? Nchi hii imemshinda bora akubali tu!!!
   
 7. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  tufuatilie pamoja nimepata toka ndani ya katibu mkuu wizara ya 'udongo'. Wameitwa ghafla. Mkuu katangulia kupitia Manyara zen Ddma.
   
 8. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  FISI mwaga ishu bana acha kutuweka on suspense!
   
 9. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna tatizo gani kuwaita? si ni wasaidizi wake wakuu? Jee angewaita dar ingekuwa hoja?
  Let us not be pre-emptive as we have a lot of issues to ponder about
   
 10. papason

  papason JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  jamaa wameisha jitwalia ziwa nyasa lootee sisi tunabaki kujadilii kujadili weee wakati rais wao mwanamama shupavu kweli kweli hataki kabisaa kusikia kitu chochote kinachoitwa majadiliano ya 'kugawana lake nyasa yao'
   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Kumbe wafugaji wakipata njaa wanapewa ng'ombe?sasa na ule ukame hao ng'ombe watakula nini??majani na mazao yamenyauka kabisa!!
   
 12. b

  bashemere Senior Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ​serikali inadondoka hovyo hovyo kama jk
   
 13. C

  Choi Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  per diem tu, hakuna lolote!
   
 14. T

  The Priest JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Duh hapa mnajadili nini..hakuna anaesema kawaitia nini tunabaki kubahatisha tu...****
   
 15. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,229
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo kwa JK
   
 16. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,119
  Likes Received: 1,749
  Trophy Points: 280
  Haya majukwaa siku hizi mbona siyaelewi elewi! Mtu akijisikia kupost ana post tu bila kuwa na source ya kueleweka,haya bwana liwalo na liwe!
   
 17. r

  radica Member

  #17
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kiherehere na kimbwele mbwele, wee una source gani? kuna cha source hapa?
   
 18. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,298
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Source ni mhimu sio mtu anatililika tu, JF sio udaku ni issues na facts
   
Loading...