Aliyerudi CCM ni ndugu Nuru Maeda ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la Magadirisho kwa tiketi ya CHADEMA hakuwa mwenyekiti wa CHADEMA kata. Aliye kaimu uwenyekiti kata chadema ni Ndugu Paul...
Ninawakumbusha tuu watawala wa Tz haitajalisha miaka mingapi itapita ila ipo siku moja ukweli juu ya ULIMBOKA, KOLIMBA, KOMBE na wengine wengi utajulikanika, na mwisho wenu utakuwa mbaya sana! Si...
Ifikie wakati sasa tuombe vyombo vyetu vya habari kama ITV, STAR TV, TBC, CHANNEL 10, CLOUDS TV, SIBUKA, na Vyombo vingine kama radio na Magazeti..,KUANZISHA HOT INTERVIEWS kwa Viongozi Wetu wa...
Baada ya kutuhumiwa na Tundu lisu wa chadema kuwa alipokea rushwa ili kukwamisha bajeti ya wizara ya nishati na madini,Mbunge wa Simanjiro Olesendeka alikua jana jimboni kwake ktk kijiji cha...
Basi la Sumry kutoka Mbeya to Sumbawanga ambalo lilikuwa litoke Mbeya Saa 4 kamili mpaka sasa ni saa 6 hakuna dalili zozote za kuondoka hata basi lenyewe halipo stand. Hivi wahusika wa Sumry huu...
JUMAPILI, AGOSTI 05, 2012 07:26 NA JOHN MADUHU, MWANZA
HALMASHAURI ya Wilaya ya Sengerema kwa kushirikiana na wafadhili kutoka Korea Kusini wanatarajia kujenga hospitali ya meli kwa ajili ya...
Kwa siku za hivi karibuni tumeshuhudia matukio ya maafa makubwa yakiwakumba wananchi ambao wamejenga na kuendesha shughuli zao za kujikimu kimaisha kwenye maeneo hatarishi kama kwenye mabonde na...
Iliripotiwa kuwa Mbunge wa Ubungo, J. J. Mnyika ataanza leo jumatatu kukusanya saini za Wabunge ili kuwezesha kuwasilisha hoja binafsi ya dharura kuhusu marekebisho ya sheria ya hifadhi ya Jamii...
Huyu bwana ana malengo mazuri aim yake si tu kutunyima kukojoa jamani bali
ni kuhakikisha ardhi inakuwa salama
sasa nahisi hili la kukojoa kwenye mabasi ya safari anatakiwa ajiandae upya...
kiukweli inaboa na inakera,serikali ilitangaza kuwa zoezi la sensa litakalofanyika tarehe 26.8.2012 litafanywa na walimu ambao watapewa kipaumbele,cha kushangaza walimu hao wengine hawakupewa...
MKURUGENZI wa Manispaa ya
Kinondoni, Fotnatus Fwema,
amesema kuwa ucheleweshaji
wa mishahara ya watumishi
wake umesababishwa na
mfumo mpya wa serikali
katika ulipaji.
Fwema alisema hayo...
Ukiwachukua watoto wawili wadogo wakike na wakiume ambao hawajaanza kuongea neno lolote ukawatenga peke yao kabisa hadi wakifika umri wa kubalehe. Kwanza nadhani hawatajua lugha yoyote zaidi ya...
Habari nilizopata hivi punde ni kwamba hotel ya seacliff inawaka moto sasa hivi. Na moto ni mkubwa sana. so wenye access nafikiri watafuatilia kwa karibu hili swala. Mia
Mzee Moyo anasema tumechoka kusalitiwa na ndugu zetu wa Tanganyika katika muungano, vijana semeni muungano munaoupenda ni haki yenu, muungano tulioufanya sisi, Karume na Nyerere si lazima...
jambo wan jf. ukurasa huu wa jf unatupa mengi mazuri sana. nacho omba mnapo tupa taarifa zenye pdf format mzi edit ili tusiokuwa na simu zinazosoma pdf format files tufaidi pia.
Monday, 11 April 2011
Hatimaye,Laurent Gbagbo na mkewe Simone amekamatwa kama Saddam Hussein akiwa amejificha shimoni huku jasho likimchuruzika. Ameondoka kwa aibu, pingu...
Jee munawasikia wawakilishi wetu wanavyokua wakali kuchangia juu ya mfumo wa muungano uliopo sasa? Duh! Ukiwakiliza utadhani leoleo muungano unabadilishwa mfumo wake lakini mbona hakuna dalili za...
Mchuano ya Olimpiki bado haijafika mwisho.
Waziri na wizara mmeshidwa nini kufungua banda kwenye michuano ya olimpiki ili kujitangaza ?
Michuano ya Olimpiki ingekuwa rahisi kuwakaribisha kina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.